YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kujiamulia mambo yako ni pamoja na kujiamulia ujiunge na NATO au Urusi au na Marekani au uombe msaada kwa nani uwe wa shimo la choo ,kivita nkUnajisifia uhuru wa kujiamulia halafu unalilia matundu ya choo, aibu sana yani.
Urusi bwege anapigana vita ohh sitaki Ukraine ijiamulie mambo yake ijiunge na nani au iombe msaada kwa nani!! Si ujinga huo
Halafu anapiga mibomu Donbas region kushinikiza wajiunge na yeye!!!
Katika modern world mrusi ndio hopeless namba one asiyejielewa.Siasa za expansionist zimepitwa na wakati.Hata Afrika tulishaacha vita hizo za machifu Miaka hiyo akina chifu Mirambo,Mkwawa, Chabruma ,Mangi Meli nk kupigana ku extend their territories!! Putin Hopeless kabisa
Anapigana vita zilizopitwa na wakati za enzi za akina Hitler the expansionist war dog