Kujiamulia mambo yako ni pamoja na kujiamulia ujiunge na NATO au Urusi au na Marekani au uombe msaada kwa nani uwe wa shimo la choo ,kivita nkUnajisifia uhuru wa kujiamulia halafu unalilia matundu ya choo, aibu sana yani.
Wewe unaona sifa kupewa msaada wa vyoo na kondom na wamarekani?watu wenye mawazo kama Yao ndo mnasababisha afrika isiendelee.Watu hapa Tz wanapona na kwenda chooni kwa hisani ya watu wa Marekani halafu wanajidai kuisifu Russia.
Wengi wa humu maisha magumu na misaada ya Wamarekani
Mrusi katusaidia msaada gani kuendelea wa maendeleo?Wewe unaona sifa kupewa msaada wa vyoo na kondom na wamarekani?watu wenye mawazo kama Yao ndo mnasababisha afrika isiendelee.
Google translate ipo mkuu.Natamani kuandika kiRussia ila kuna mapimbi hawataelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unaona sifa kupewa msaada wa vyoo na kondom na wamarekani?watu wenye mawazo kama Yao ndo mnasababisha afrika isiendelee.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ni kweli ni hopless ambaye hafagilii mashoga so wote wenye itikadi za kichoko lazma mumpondee. Siku mkeo akilala na kisu kitandani mkumbatie. Ana uhuru wa kulala na kisu bila kuulizwaKujiamulia mambo yako ni pamoja na kujiamulia ujiunge na NATO au Urusi au na Marekani au uombe msaada kwa nani uwe wa shimo la choo ,kivita nk
Urusi bwege anapigana vita ohh sitaki Ukraine ijiamulie mambo yake ijiunge na nani au iombe msaada kwa nani!! Si ujinga huo
Halafu anapiga mibomu Donbas region kushinikiza wajiunge na yeye!!!
Katika modern world mrusi ndio hopeless namba one asiyejielewa.Siasa za expansionist zimepitwa na wakati.Hata Afrika tulishaacha vita hizo za machifu Miaka hiyo akina chifu Mirambo,Mkwawa, Chabruma ,Mangi Meli nk kupigana ku extend their territories!! Putin Hopeless kabisa
Anapigana vita zilizopitwa na wakati za enzi za akina Hitler the expansionist war dog
Mrusi katusaidia msaada gani kuendelea wa maendeleo?
Kazi yake kuuza mibomu tu na mifaru ya kivita .Watanzania hatuli vifaru au mikombora ya kirusi na wala hatusomei kwenye magari ya kivita ya kirusi kama madarasa na hatutumii vifaru vya kirusi kama vyoo vya shule vya kujisaidia
Ana msaada gani kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi ? Urusi hopeless kabisa
Ni phaller flani yuko stoo tena ya giza ameamua kujifariji kwa ufukura unaomzunguka...Kwani wewe ni nani mpaka uzungumze kwa niaba ya watanzania?
Wavaa kobasi na suruali za watoto NATO ataendelea kuwapelrkea moto siku zote za maisha yenu😆😆😆Hawa tim nato weusi inabidi siku moja tuwaalike waje wale sousage za kirusi na vodka[emoji1787][emoji1787]
HakiaMungu hakuna nchi hata moja ya Africa inayosupoort Nato ni vile hazijioneshi tu but kiundani nchi karibia zote za Africa kwenye huu mgogoro zinamsupport Urusi, kwa history walichotufanyia hawa jamaa na wanachofanya kwenye dunia lazima tumupport RussiaJana Zelensky kampigia simu Filipe Jacinto Nyusi rais wa Msumbiji na kuongea naye muda mwingi ila kaishia kuambiwa tu mgogoro wenu hautuhusu nasi tuna yetu yanayotusumbua ila pole kwa kupoteza wanajeshi wako.
Nalog off Z
Wavaa kobasi pekee na walio wengi ndio wanamuunga mkono Mrusi.HakiaMungu hakuna nchi hata moja ya Africa inayosupoort Nato ni vile hazijioneshi tu but kiundani nchi karibia zote za Africa kwenye huu mgogoro zinamsupport Urusi, kwa history walichotufanyia hawa jamaa na wanachofanya kwenye dunia lazima tumupport Russia
Gaykraine aache kutumia nguvu kuzishawishi nchi za Afrika ambazo zinajionesha dhahiri kuwa ziko upande wa Urusi, yeye anatakiwa aongee na mashoga wenzake tu huko kwengine.HakiaMungu hakuna nchi hata moja ya Africa inayosupoort Nato ni vile hazijioneshi tu but kiundani nchi karibia zote za Africa kwenye huu mgogoro zinamsupport Urusi, kwa history walichotufanyia hawa jamaa na wanachofanya kwenye dunia lazima tumupport Russia
Ninazo Mimi sisubiri misaada kutoka Marekani Kama nyie mnaoshabikia misaada ya kimarekani.Kuchamba kwingi, Unanunua Condom za bure unakuja kupiga kelele, una hela ya kununua Condom wewe?
Huyo ZeleGaynski aache ujinga wake mara mojaGaykraine aache kutumia nguvu kuzishawishi nchi za Afrika ambazo zinajionesha dhahiri kuwa ziko upande wa Urusi, yeye anatakiwa aongee na mashoga wenzake tu huko kwengine.
Huu mchongo wa kupigiwa simu umekuja baada ya Rais wa Italia kuitembelea Msumbiji ndio akawaunganisha lkn Zele kaambulia patupu.
Nalog off Z
You do not have an authority to speak on behalf of all Tanzanians!We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in large scale how much we support you!! Russia is a true superpower and our dear Ally.
He haveYou do not have an authority to speak on behalf of all Tanzanians!
Ni raiya mkakamavu.Kwani wewe ni nani mpaka uzungumze kwa niaba ya watanzania?
Yai kama yai yaani 😂He have
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Tuko pamoja na urusi, wakimaliza huko waje na
hapa bongo kuwa de-nazify CCM washenzi sana wanatusumbua na ufisadi wa kijinga.
Walete kikosi cha chechnya batallion 1O tu zinatosha kuwasambaratisha mabwege na machawa wao