A message to the Russian ambassador to Tanzania

Hawaelewei, wako kama headless chickens
Watu hapa Tz wanapona na kwenda chooni kwa hisani ya watu wa Marekani halafu wanajidai kuisifu Russia.

Wengi wa humu maisha magumu na misaada ya Wamarekani
 
Unataka speech ya balozi wa Kenya UN akilaani uvamizi wa Urusi??
 
Mirembe case
 

Attachments

  • Screenshot_20220707-220959_Samsung Internet.jpg
    157.5 KB · Views: 5
Hapa ndio unapishana na Ukweli. Hii kutegemea kusaudiwa kujenga choo ni UPUMBAVU narudi ni UPUMBAVU waibe dhahabu halafu wajenge madarasa mawili ya shule kuna fairness hapo.
Usifurahie kununuliwa chupi na jirani yako mbele ya familia.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Tanzania imejenga hata Choo nchi gan uko ulaya mpaka wewe unataka ujengewe ndo uone thaman, Madem wa siku hizi bila kuhongwa mnaamini hampendwi eeh!
Mama yenu kila siku anaenda kudanga uko Ulaya, Russia siyo Danga la nchi zenye viongozi malaya na shobo na Wazungu.
 
We baba umekomalia misaada mbona, He who feeds You controls you.
Uhuru gan unaozungumzia ikiwa kula na kwenda chooni tu unatala msaada. Unaona raha sana Tanzania kua demu wa Marekani kutwa kuhongwahongwa na kugawa utamu wa Taifa?[emoji22]
Enewei una Miaka mingap labda? Pengne ni umri wako!
 
Tatizo mnaleta udigitali kwenye Mambo ya msingi, Point ya kupitwa na muda inaonyesha kiasi gan wewe ni limbukeni. Badili point
 
Kama Unaagiza Kondomu pesa unayo, ila kama unanunua nchi hii jua Marekani wamekusaidia pesa ya Tozo
Hivi Condom nayo ni point? Hiki chama kinazaa Chawa wa ajabu sana ambao badae wataikabidhi hii nchi iwe kijiji cha Marekani rasmi.
 
Two mindsets

1. kujitegemea MINDSET
2. Tegemezi MINDSET

PRO NATO ( tegemezi mindset)
PRO RUSSIA (kujitegemea midset)

WATOA MISAADA NDIO WAPANDISHAJI WAKUU WA BEI NA BIDHAA HUKU WAKIJIPATIA FAIDA LUKUKI

WANAOTUFUNDISHA KUJITEGEMEA wao kwanza mafuta bei raihisi na ndio wanatoa bidhaa zao kwa bei ya chini hata huko ulaya hasa bidhaa za gesi na mafuta
 
TENA MISAADA YENYE MASHARTI........ USHOGA NA USAGAJI NA MAFUTA YA VILAINISHI JUU
 
Kudanga
 
Problem is huna mandate hiyo. To him you are just another random person ambae una claim kuwa una speak on behalf of tanzania.

Sorry you dont have power here, huo ujumbe unaishia hapa hapa jf.
 
we all support Russia, because we don't need gays generation to our continent!!

zele ni shoga ,hivyo apigwe tu maana ni hasara kwa dunia na ustawi wake!!
 
Unataka speech ya balozi wa Kenya UN akilaani uvamizi wa Urusi??
Sasa Kenya nae NI wakupigia mfano [emoji2][emoji3][emoji1]. nikajua utataja Congo,misri ,Algeria ,Tanzania ,Uganda ,Ghana ,south Africa,Sudan ,Ethiopia , Nigeria, n.k
 
we all support Russia, because we don't need gays generation to our continent!!

zele ni shoga ,hivyo apigwe tu maana ni hasara kwa dunia na ustawi wake!!
All, means you and who? Never say all because you don't have any quality of representing me. It is only stupid guys of your like, not all. Get it you fool and your peers!..
 
Kama Unaagiza Kondomu pesa unayo, ila kama unanunua nchi hii jua Marekani wamekusaidia pesa ya Tozo
yaani najiskia aibu kuona ,kijana wa kitamzania ambae tunasema taifa la kesho anaona ni msaada kuletewa kondom [emoji24][emoji24].

Yaani uibiwe dhahabu ,halafu uletewe kondom na kujengewa choo ,halafu unakenua meno eti msaada . sijui Nani katuloga [emoji24][emoji24]. Putin hebu ongeza kipigo kwa hao pus ,hata Kama hawahusiki na dhuruma ya hawa majambaz ,Ila kwa sababu wamekubali kutumiwa na majambaz ,Basi wapigwe Tena kipigo heavy!!
 
... sera ya nje ya Tanzania imebadilika siku hizi? To stand with the oppressed? Leo mmeamua kuwa upande wa oppressors?
Siyo wa TZ. Ni haya majuha yasiyojitambua, yanayofanya mitihani ya multiple choice halafu yanajiita yamefaulu na kuotka chuo hata kuandika hayajui!. Hakuna mtu mwenye akili timamu atajipa usemaji wa taifa na eti Africa nzima. Ni majitu mpaumbavu tu na haya haya nidyo yanyorudisha maendeleo nyuma kwa sababu ya upumbavu vichwani!.

Ukitaka kujua TZ haijabadilika katika hii nyanja, Mwangalie mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…