A New Constitution before 2015 is A MUST - NO COMPROMISE

A New Constitution before 2015 is A MUST - NO COMPROMISE

Pamoja na maneno matamu ya Rais Kikwete leo, ukweli unabakia pale pale kuwa hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi ujao na Katiba ya sasa; kwa hiyo tunaposema Katiba mpya no compromise, maana yake ni pamoja na ukweli kuwa we are not compromising on the issue of "when".

Huwa ana maneno matamu kiusanii we can not get fooled any more, we don't trust him, he will swing with TIME, TIMEEEEEE, then he
will say u know what We will do amendments, tunataka mpya si kuweka viraka/ marekebisho then kama kuna kitu kizuri kwenye Dead old katiba then tutakiingiza, period
 
Mwanakijiji,

Nafurahi sana kukuona tena LIVE. Itabidi kesho ni niwasiliane na nduguyo Mwakalinga (undugu wa JF) maana alinipigia simu kukuulizia. Ukiweza basi mwandikie kiujumbe mapema kuwa ulisafiri na kurudi salama usalimini.

Nina uhakika anajua nilisafiri safari ya wapi na kwa nini. Heri ya mwaka mpya!
 
You did not dissapoint me.I have lots of respect on your comments.am not a mind reader,i judged you based on the fact that CHADEMA is advocating for the new constitution with the elements that matches with those in your article,am so sorry.some CCM members wants a new constitution and we will work towards achieving that but without threats and pressure.We will demand it,let time be my witness.

I have gone back and re-read what I just wrote to see if I ever mentioned Chadema; sorry to disappoint you I didn't find it. The next time when I write about a political party then you can criticize that. Otherwise don't try to be a mind reader. I do not worship at the alter of a political party. I don't not know CCM members who have come out to demand a new constitution, so far there is none that I know of. Almost all who have offered their opinions on the issue they have only spoken about the "need for new constitution or amendments". No one is demanding a new constitution within the ruling party. I stand to be corrected.
 
mkuu,
wavamiaji wengi wamebeba majina ya kike lakini wanazungumza kama milevi ya kiume!! duu..

Tukitofautiana maawazo,tusifike sehemu tukaingiza jinsia.Unaweza criticize ukaeleweka,mbona mtoa hoja kakosoa mawazo vizuri tu??
 
Usi-log in tafadhali,tuache na ujinga wetu tuelimike huku si ndo maana tulikuja Jamii Forums,tuonyeshe ujinga wetu,werevu kama wewe watutoe ujinga kwa ujinga kama ulio nao wewe wa kutokuheshimu mawazo ya watu na kushindwa kuwasaidia kuondokana na ujinga wao.Ubaya wako mama yako alikudanganya kuwa wewe mwerevu ndo maana una confidence za kijinga.Mi wewe nakuweka kwenye kundi la wajinga wasioweza kusaidika.Ovyo sana wewe.

Mimi nafikiria sasa kupumzika kulog in kwenye JF maana imevamiwa, sasa jinga jinga kama hili utaliweka kwenye kundi gani? sichangii chochote naomba asome tu signature yangu.

 
Katiba yao iliandikwaje na substance yake inalingana kwa kiasi gani na hii ya kwetu on fundamental constitutional principles? au unalinganisha TU kwenye idadi ya orodha ya mabadiliko?

Najaribu kutoa picha jinsi katiba yetu inavyokinzana na wakati uliopo na ujao. Mapungufu hayo dno yamepelekea kuwepo kwa amendement lukuki kuanzia pale ilipoasisiwa 1977. Kuna haja ya kufafanua zaidi hiyo reflection? Kuna jamaa hapo juu sees everything as a nail while the only tool he has is a hammer.
 
Wameanza!!!

From MARC NKWAME (Daily News) in Arusha, 20th February 2011 @ 19:45, Total Comments: 0, Hits: 150

THE government plans to deploy teams of educators to raise people's awareness on the envisaged constitution reforms, Minister for Constitutional Affairs and Justice Celina Kombani has announced.

Speaking at the 2011 Tanganyika Law Society's Annual General Meeting here over the weekend, Ms Kombani, who represented Prime Minister Mr Mizengo Pinda, noted that the majority of Tanzanians have never even seen the current constitution document.

''We want to prepare our people so that they all become aware of what a constitution entails and this will be done through mass civic education as well as ensuring that they are provided with copies of the National Constitution,'' stated the Minister.

Minister Kombani said the government plans to involve members of the legal fraternity, such as the TLS, civil and community organizations as well as local elders to execute the task.

''But as you are all aware very few Tanzanians own or even have seen the constitution that is apart from those working in sectors that require regular references to the document,'' she said.

She added that once people become aware of the constitution, it would be easy for them to actively contribute to the process of compiling a new one.

Out going TLS President Mr Felix Kibodya had earlier on said that it was wrong for people to think that Tanzania can compile its new constitution based on other countries' experiences.

''The situation here is very different from countries like Kenya, because Tanzania hasn't had much social or political problems thus the way we need to conduct the process will be quite different from Kenya, Uganda or Zimbabwe,'' he stated.

The TLS is also embarking on its own mission to print and distribute copies of the Tanzania constitution countrywide for people to see and go through the document prior to the proposed amendments.

My Take:

Hivini kwanini wanafikiri ili kuwa na Katiba Mpya kabla ya 2015 Watanzania wanahitaji kuwa na nakala za Katiba ya sasa? Hivi kwa miaka 50 kweli Watanzania hawajui umuhimu wa katiba? Ni dharau gani walizonazo hawa?
 
I'm so energetic to keep demanding this basic right for everyone in Tanzania. Why ask for mercy or charity while demanding the National Constitution? No way, no patience if such demand is abused, no betrayal & together we can and can have the constitution right before 2015. Hence, no more to discuss at this point rather keep our eyes open!
 
Hatuhitaji vitisho kwenye suala la katiba mpya,suala la katiba mpya si la CHADEMA pekee...katiba ni kwa maslahi ya watanzania wote,so unapozungumzia CCM uwe makini coz wapo wanachama wa CCM wanaotaka katiba mpya.Tatizo lenu ni kuweka mbele malengo yenu ya kushika madaraka ya nchi kuliko maslahi ya watanzania,ndo maana mnauzungumza sana uchaguzi wa 2015 na hasa suala la tume huru,kitu ambacho hata asiye CCM anakitaka.kuna watu mko tayari watu wafe ili mradi mpate mnachokitaka.Msitugawanye kwa misingi ya kichama linapokuja suala la katiba.Tanzania ni yetu sote na tunaipenda na tunataka mabadiliko ila si kwa vitisho wala pressure.And who are you to say its a must,are you speaking on behalf of your party or on behalf of Tanzanians,how many Tanzanians know the constitution or how it is of benefit to them?

It is very easy to know who have gone to school and those who returned home educated... Very simple, they all have simple answers on difficult questions and very often the do not know what they say. If I bother to ask, what did you want to mean, I still find it contradicting!!
 
Hatuhitaji vitisho kwenye suala la katiba mpya,suala la katiba mpya si la CHADEMA pekee...katiba ni kwa maslahi ya watanzania wote,so unapozungumzia CCM uwe makini coz wapo wanachama wa CCM wanaotaka katiba mpya.Tatizo lenu ni kuweka mbele malengo yenu ya kushika madaraka ya nchi kuliko maslahi ya watanzania,ndo maana mnauzungumza sana uchaguzi wa 2015 na hasa suala la tume huru,kitu ambacho hata asiye CCM anakitaka.kuna watu mko tayari watu wafe ili mradi mpate mnachokitaka.Msitugawanye kwa misingi ya kichama linapokuja suala la katiba.Tanzania ni yetu sote na tunaipenda na tunataka mabadiliko ila si kwa vitisho wala pressure.And who are you to say its a must,are you speaking on behalf of your party or on behalf of Tanzanians,how many Tanzanians know the constitution or how it is of benefit to them?

Kwanza inabidi uanze kurudi shule kujua vitisho ni nn? Na uoneshe vitisho vilivyotolewa kwenye hiyo thread.

And who are you to say its a must.... Have you asked who you're to ask somebody who he's?

how many Tanzanians know the constitution or how it is of benefit to them .... My kids for example schooling in these St. Kanumba's or kata schools while others are at IST or the like .... I don't have to have a constitution or know its colour to establish that my fundamental right to EDUCATION is/has been deprived.... etc

After all, together we can make Tanzania a better place via these contributions. Michelle your response instigates more questions... a kind of personal animosity to MMJ than significant and valuable contribution towards the main issues raised by MMJ.....

I stand to to corrected.....
 
I don't have to have a constitution or know its colour to establish that my fundamental right to EDUCATION is/has been deprived.... etc

Hili jibu ni zuri sana na linabeba jawabu la swali la je tusubiri hadi 2020 kupata Katiba Mpya?
 
SERIKALI YATAMKA: Katiba mpya 2014
• SERIKALI imesema mchakato wa mabadiliko ya Katiba utaanza hivi karibuni na itahakikisha kuwa Katiba mpya inapatikana mwaka 2014.

na Bakari Kimwanga


amka2.gif
SERIKALI imesema mchakato wa mabadiliko ya Katiba utaanza hivi karibuni na itahakikisha kuwa Katiba mpya inapatikana mwaka 2014.
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Oliver Mhaiki, alipokuwa akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala inayoongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Pindi Chana, iliyotaka kufahamu jinsi serikali ilivyojipanga kwa mchakato huo.
Alisema maandalizi ya kuanza kwa mchakato huo yamekamilika na tayari muswada wake umeshapita katika vikao husika na kwamba kinachosubiriwa kwa sasa ni kufikishwa bungeni.
"Mchakato wa katiba itakayotokana na ridhaa ya wananchi utakamilika baada ya miaka miwili kutoka sasa. Wizara ilishaandaa waraka kuhusu suala hilo na ulishafikishwa katika kikao cha kamati ya ufundi ya serikali inayoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, kwa hatua zaidi.
"Kamati ya Luhanjo ilishaujadili waraka na iliupeleka katika kikao cha baraza la mawaziri ambalo lilishaketi na kuupitisha waraka huo…hatua inayofuatia sasa ni waraka huo kupitiwa kama muswada kwa ajili ya kuwasilishwa kati ya mwezi Juni au lile Bunge la Novemba," alisema Mhaiki.
Ufafanuzi huo ulitokana na maswali yaliyoulizwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Angellah Kairuki na Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi), ambao kimsingi walitaka kujua Katiba mpya itapatikana lini na kutaka kujua nini kinaendelea tangu Rais Jakaya Kikwete atoe tamko lake kuhusu suala hilo.
Baada ya ufafanuzi huo, kamati hiyo iliipongeza serikali kwa maandalizi iliyoyafanya mpaka sasa na kuitaka iendelee kufanya maandalizi ya uhakika zaidi bila kubahatisha, kwani wanatekeleza agizo la rais.
Kwa upande wake Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, alisema wizara yake imejipanga vizuri ingawa imekuwa ikikabiliwa na changamoto hasa katika Idara ya Mahakama, kwa kuwa na upungufu wa mahakimu katika mahakama za mwanzo na wilaya nchini.
Kombani, alisema hivi sasa serikali imefanikiwa kuajiri mahakimu wa mahakama za mwanzo ambao ni 750 huku kukiwa na upungufu wa mahakimu 350, hali inayofanya mashauri ya kesi kuchelewa kusikilizwa kwa wakati.
"Naiomba kamati hii itambue wilaya zote 12 zilizoanzishwa katika Serikali ya Awamu ya Tatu hazina majengo ya mahakama ya wilaya, hali inayopelekea wananchi kutembea umbali mrefu kuzifuata mahakama zilipo na zaidi ya wilaya 30 hazina mahakimu," alisema Waziri Kombani.
Alisema hali hiyo inasababishwa na ufinyu wa bajeti ya wizara hiyo pamoja na idara zake, ambapo kwa mwaka huu wa fedha unaoisha Juni mwaka huu walitengewa sh bilioni 499.4, ikiwa sambamba na idara zote.
Hata hivyo, Kombani alitoa wito kwa kamati hiyo kuhakikisha wanaunga mkono ombi lao la kutaka kuongezewa fedha katika bajeti ya mwaka huu ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi na kuboresha huduma kwa wananchi.
Hoja na shinikizo la kutaka kuandikwa kwa Katiba mpya viliibuliwa kwa kasi mwishoni mwa mwaka jana na tamko la viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mara baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2010.



My Take: Tunaanza kushinda taratibu = la pili ni kutuhakikishia kuwa Uchaguzi ujao wa 2015 utakuwa chini ya Katiba Mpya.
 
Back
Top Bottom