BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
mmmhh asante sana..
lakini mmhh nataka kumwalika REV atufungishe.
naona mwaka huu kabadilika sana..
Mchungaji ni mfungishaji mzuri sana wa harusi na ana uzoefu mkubwa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmhh asante sana..
lakini mmhh nataka kumwalika REV atufungishe.
naona mwaka huu kabadilika sana..
Mchungaji ni mfungishaji mzuri sana wa harusi na ana uzoefu mkubwa tu.
Nimekubali vigezo na masharti kuzingatiwa!
Kwa hisani ya watu wa Marekani nadhani inaruhusiwa!
Kuna Kisuti cha kizee zee Lizzy ameninunulia nitakivaa hicho na kobazi chini
mmmmhh afadhali hata umekuja kunikomboa..
mie hiyo ya tatu kutoka kushoto au ya pili kutoka kulia ndo nataka...
size mmmhhhh ntakuacha utumie ufundi wako hapo lol
usiniangushe hahahahh lol
mmmmhhhhh lakini Rev si ninatakiwa nifanye mafundisho kwanza kabla ya ndoa????
au vipi???
Tuma maombi rasmi na kubadili jina na dini kufuate