Habari yako mkuu. Hebu acha tumfahamu ili kazi zetu ziwe rahisiUsijiexpose sana my dear, humu tunatumia I'd fake, fake profile pics, humu siyo Facebook , bhaponye mwakyela
Nini hii ?? Au ndio shemeji kafanya mamb0Basi chukua zawadi ya msosi, usinune
Hahahahaaa mnajiamisha hivyo? Haya nawatakia kila heri mkuuHaahah Shadeeya hana wasiwasi wale tunawapigia kwao huko zambia
Aaah, namuonea huruma watu wanavyomchora[emoji1] [emoji1] jf noma eti weka na namba za simu duuh,afu home girl huyuu bora angenicheki sister ake nimpe ABCs za jf[emoji1]Habari yako mkuu. Hebu acha tumfahamu ili kazi zetu ziwe rahisi
Madikodiko hayo mkuu, muulize Shadeeya atakwambia 🤣🤣🤣Nini hii ?? Au ndio shemeji kafanya mamb0
Hahaha mi sio mtaalam sana kuna jamaa alinifundisha hilo nenoHeee, mshipa ifiki[emoji15] [emoji1] [emoji1]
Unaifahamu hiyo ndude?Mwee, mbako indutu
Dah apana bwana. Wewe unngemsababisha afunge pm na asiweke tupicha twake.... anyway kuna kitu nataka kumwambia homegirl wako...nisaidieAaah, namuonea huruma watu wanavyomchora[emoji1] [emoji1] jf noma eti weka na namba za simu duuh,afu home girl huyuu bora angenicheki sister ake nimpe ABCs za jf[emoji1]
Ahaaa, mabaharia mshaanza,haya unataka umwambie nini inabidi upitie kwangu kwanza nichambue mema na mabaya [emoji1] [emoji1] ,pm itakua imefurikaaDah apana bwana. Wewe unngemsababisha afunge pm na asiweke tupicha twake.... anyway kuna kitu nataka kumwambia homegirl wako...nisaidie
Hahahaaa, alikwambia maana yake uwii?? Bonge la tusii[emoji30]Hahaha mi sio mtaalam sana kuna jamaa alinifundisha hilo neno
Mimi hata sina ujumbe we seti mitambo sawa. Kisha unijulishe. Si unajua mi sio bahariaAhaaa, mabaharia mshaanza,haya unataka umwambie nini inabidi upitie kwangu kwanza nichambue mema na mabaya [emoji1] [emoji1] ,pm itakua imefurikaa
[emoji23][emoji23][emoji23]AliniambiaHahahaaa, alikwambia maana yake uwii?? Bonge la tusii[emoji30]
Nambie Mimi kitu gani hicho unataka umwambie baada ya kuona picha zake tuu[emoji30] , andika unavyotaka kumwambia ili nifanyie auditing kabla sijaruhusu[emoji2]Mimi hata sina ujumbe we seti mitambo sawa. Kisha unijulishe. Si unajua mi sio baharia
Mkuu unafikiri kila mtu anayejionesha kwako kuwa ni mshamba anakuwa mshamba kweli??...mwingine ili uingie kichwakichwa mazima lazima ajifanye mshamba kweli ujichanganye...Diwani athman kateuliwa juzi tu,usikute ndo kashaanza kazi hiviAaah, namuonea huruma watu wanavyomchora[emoji1] [emoji1] jf noma eti weka na namba za simu duuh,afu home girl huyuu bora angenicheki sister ake nimpe ABCs za jf[emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] alikosea sana kukufundisha hilo neno, itakua Dada Wa watu kashindwa kuelewa kumbe Jf ndyo iko hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Aliniambia
Ohooo kumbe, nimeogopaa[emoji30]Mkuu unafikiri kila mtu anayejionesha kwako kuwa ni mshamba anakuwa mshamba kweli??...mwingine ili uingie kichwakichwa mazima lazima ajifanye mshamba kweli ujichanganye...Diwani athman kateuliwa juzi tu,usikute ndo kashaanza kazi hivi