A new member

A new member

Dah apana bwana. Wewe unngemsababisha afunge pm na asiweke tupicha twake.... anyway kuna kitu nataka kumwambia homegirl wako...nisaidie
Ahaaa, mabaharia mshaanza,haya unataka umwambie nini inabidi upitie kwangu kwanza nichambue mema na mabaya [emoji1] [emoji1] ,pm itakua imefurikaa
 
Mimi hata sina ujumbe we seti mitambo sawa. Kisha unijulishe. Si unajua mi sio baharia
Nambie Mimi kitu gani hicho unataka umwambie baada ya kuona picha zake tuu[emoji30] , andika unavyotaka kumwambia ili nifanyie auditing kabla sijaruhusu[emoji2]
 
Aaah, namuonea huruma watu wanavyomchora[emoji1] [emoji1] jf noma eti weka na namba za simu duuh,afu home girl huyuu bora angenicheki sister ake nimpe ABCs za jf[emoji1]
Mkuu unafikiri kila mtu anayejionesha kwako kuwa ni mshamba anakuwa mshamba kweli??...mwingine ili uingie kichwakichwa mazima lazima ajifanye mshamba kweli ujichanganye...Diwani athman kateuliwa juzi tu,usikute ndo kashaanza kazi hivi
 
Nimenusa harufu ya mgeni.....karibu saaaana mrembo
tapatalk_1567943303810.jpeg
 
Back
Top Bottom