Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Waheshimiwa, tayari imewekwa kwenye cha kuchezea inasubiriwa kubonyeza "Play" tu. Tatizo ni kuwa Ndugu yetu "invisible" leo hakuonekana kabisa (what an irony!). Hivyo vyanzo muhimu vikasema kwa vile tumesema ni leo basi lazima iwe leo. Hivyo muda mfupi uliopita nakala nyingine ya CD nimeambiwa imeshapitwa "kwenye njia mbadala" na nimecheki na njia hiyo na wamenihakikishia wamepokea; na hivyo kwa sababu kuna tracks karibu 14 (itawachukua weekend nzima au wiki nzima kusikiliza) ndiyo wanajiandaa kuicheza. Ninyi kama mimi nasubiri kwa hamu kwani wamenikatalia hata kudokeza kilichomo humo na ninasubiri hivyo hivyo.
Mvumilivu hula mbivu...
Look man
KLHNEWS ipo sasa why wait for JF?
Acheni kutuchezea hapa...bora ningeenda Blockbuster nikarent DVD