Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Ngeleja na Rashidi wote walifanya kazi Vodacom hivyo ni watu wa RA, EL pamoja na Tanil wa Shivacom. Kundi hilo la wajasiriamali/wanasiasa ndio haswa lililo husika na Richmond/Dowans na sasa linawinda tenda mpya Tanesco. Hivyo nakubaliana na wewe kabisa kuwa Ngeleja, Rashidi ni moja ya watu wanaotumiwa na mtandao wa kina RA ili kufanikisha miradi yao.
TINA umenifumbua macho!Kwa hiyo yule anayesema Rashidi ni CEO asiye na kifani Tanzania anatetea maslahi yake indirectly!?