Ngeleja na Rashidi wote walifanya kazi Vodacom hivyo ni watu wa RA, EL pamoja na Tanil wa Shivacom. Kundi hilo la wajasiriamali/wanasiasa ndio haswa lililo husika na Richmond/Dowans na sasa linawinda tenda mpya Tanesco. Hivyo nakubaliana na wewe kabisa kuwa Ngeleja, Rashidi ni moja ya watu wanaotumiwa na mtandao wa kina RA ili kufanikisha miradi yao.