Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Amini unachotaka. Barabara kuelekea Busia haijawahi kuharibika. Hio barabara imetumika kwa miaka 50and Yala and Nzoia?
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini unachotaka. Barabara kuelekea Busia haijawahi kuharibika. Hio barabara imetumika kwa miaka 50and Yala and Nzoia?
![]()
Wanahabari sio mungu. Wanaweza fanya makosaMnapaswa kujiuliza inakuaje TV kubwa kama hiyo kutangazia dunia kwamba endapo hilo daraja la pili litafungwa hakutokua na mawasiliano ya barabara na Uganda?, kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba wanahabari na vyombo vya habari vya Kenya havina uhakika na wanayotangaza?
Sent using Jamii Forums mobile app
and how will they avoid Webuye bridge that is about to be closed too!
U mean this kind of bridge?Amini unachotaka. Barabara kuelekea Busia haijawahi kuharibika. Hio barabara imetumika kwa miaka 50
Infact kitu hawa watu wamesahau ni ati Mombasa- Kisumu- Busia is the main trunk road to Uganda. The Malaba one is like a substitute.Not every human being is perfect, huyo jamaa alikuwa amekosea. Yeye amezoea njia ya Mombasa - Eldoret -Malaba na akasahau Mombasa -Kisumu - Busia.
Kuna border mbili kati ya kenya na uganda. Malaba border na Busia border. Hata hiyo Malaba ikifungwa bado kuna Busia ambayo itaendelea kuchapa kaziUsiniulize Mimi, muulize huyo mtangazaji na hiyo TV yenu ambayo inaitangazia dunia nzima kwamba hakutokua na mawasiliano ya barabara na Uganda endapo daraja la pili litafungwa. Kumbuka kwamba TV inawafikia watu wengi na madhara yake ni makubwa endapo watatoa taarifa za uongo. Sasa hivi tayari wafanyabiashara wanaotumia bandari ya Mombasa wa Uganda watakua na wasiwasi, labda kama GoK itatoa tamka kukanusha hiyo taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
so from Kisumu how will all the trucks supposed to go through Malaba get to Kampala? [emoji23] [emoji121]
Walipaswa kurekebisha kama wamefanya makosa, au Serikali kukanusha, vinginevyo hupaswi kusema wewe kwamba wamefanya makosa, huna hayo mamlaka ya kuvikosoa vyombo vya habari.Wanahabari sio mungu. Wanaweza fanya makosa
Huyo mtangazaji wa hiyo TV ndivyo alivyosema kwamba hilo daraja la pili likifungwa hakutokua na mawasiliano ya Barbara na Uganda, au hata yeye haijui Kenya zaidi yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilipo hapa ni kwamba, TV imetangaza kwamba endapo daraja la PILI litafungwa, hakutokua na mawasiliano ya barabara kati ya Kenya na Uganda. Waliosema hivyo ni wakenya kama mlivyo nyinyi, na zaidi ya hapo wao ni wanahabari ambao kabla ya kutangaza jambo lolote wanalazimika kufanya "verification", kwa hiyo uwezekano wa wao wanahabari kufanya makosa ni mdogo ukilinganisha na nyinyi.Kuna border mbili kati ya kenya na uganda. Malaba border na Busia border. Hata hiyo Malaba ikifungwa bado kuna Busia ambayo itaendelea kuchapa kazi
U mean this kind of bridge?
See how ur ovid 19 lockdown has made the Chinese stop construction a bridge at the side.
Kwanini unaniuliza Mimi badala ya kywauliza hao wanahabari wa hiyo TV?, hao ni wakenya wenzenu wanaijua vizuri sana Kenya, na zaidi ya kuwa ni wakenya kama nyinyi, pia ni wanahabari ambao kazi yao kubwa ni kukusanya habari na kuzunguka nchi nzima.Kwa hio route ya malaba,kwa mfano useme boda ya lungalunga/horohoro ifungwe hakutakua na usafiri baina ya kenya na tanzania unasahau kuwa Kuna boss ya namanga pia na isibania?
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Infact kitu hawa watu wamesahau ni ati Mombasa- Kisumu- Busia is the main trunk road to Uganda. The Malaba one is like a substitute.
Onyesheni ni madaraji yapi yanayotumika baada ya hayo mawili kufungwa?Hio daraja haitumiki na matrela kubwa kubwa. Wewe kwa akili yako hiyo ya kuazima unadhani trela zinazokwenda Uganda zinaweza kutoshea ndani ya hako kadaraja kadogo? Hehehe mzee wetu huyu anachekesha
Hili daraja lingesaidia kama si #akilizahandshake# kufunga mdomo oposition!Hio daraja haitumiki na matrela kubwa kubwa. Wewe kwa akili yako hiyo ya kuazima unadhani trela zinazokwenda Uganda zinaweza kutoshea ndani ya hako kadaraja kadogo? Hehehe mzee wetu huyu anachekesha
Hamna. Mwanahabari mwenyewe mpuuzi tu. Amesahau kuwa kuna barabara ya pili inayopitia Kisumu kwenda Busia.Kwa hiyo umuhimu wa vyombo vya habari katika kuhabarisha umma na wafanyabiashara huko kweni haupo badala yake kila mtu atumie uelewa na ufahamu wake binafsi?." That is the real meaning of Banana Republic".
Sent using Jamii Forums mobile app
The road to Busia one stop border post! See floods in Budlangi? Isn't Budalangi in Busia?
Kwanini unaniuliza Mimi badala ya kywauliza hao wanahabari wa hiyo TV?, hao ni wakenya wenzenu wanaijua vizuri sana Kenya, na zaidi ya kuwa ni wakenya kama nyinyi, pia ni wanahabari ambao kazi yao kubwa ni kukusanya habari na kuzunguka nchi nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo mamlaka maana nimewahi kuishi katika hayo maeneo naelewa kwamba border ni mbili. Mwanahabari mwenyewe mjinga haelewi kwamba kuna border mbili tofauti na moja ikifungwa nyingine inaendelea kuchapa kazi. Mwanahabari huyo pengine hajawahi kuishi maeneo hayoWalipaswa kurekebisha kama wamefanya makosa, au Serikali kukanusha, vinginevyo hupaswi kusema wewe kwamba wamefanya makosa, huna hayo mamlaka ya kuvikosoa vyombo vya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app