A night Kajiado's Governor closed the border btn Tanzania and Kenya, this happened

A nice comprehensive reporting. Probably now motor vehicles heading towards Burundi, DR Congo, Uganda and Rwanda have to use a deviation route through Taveta, Holili into Tanzania.

Kuna huyu governor wao Ole Lenku kafunga borders za Tanzania/Kenya jana mchana usiku mafuriko huko Western! sasa namuambia JPM asiruhusu trucks za kutoka Mombasa ports kuingia Tanzania!

Kuna huyu governor wao Ole Lenku kafunga borders za Tanzania/Kenya jana mchana usiku mafuriko huko Western! sasa namuambia JPM asiruhusu trucks za kutoka Mombasa ports kuingia Tanzania!

Geza trucks kutoka Mombasa zitapita busia acha kulazimisha vitu...hamna anayetaka kupitia tanzania..lenku kufunga border ametuma uwe na mori ivo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By the way, like when i was driving to dar hapo korogowe the bridge had been washed off, we had to wait for 8hrs for it to be temporarily fixed, ukiuliza an alternative route ati lazima tungerudi arusha and use i think the road to morogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So leo Mtanzania anaambia Mkenya kuhusu Uhuru wapi vyombo vya habari! We are living in very interesting times. Kati ya hizi nchi mbili ni wapi uhuru wa vyombo vya habari inakandamizwa?
 
Akili ya mke mwenza hii. Siyo akili ya mfanyabiashara anayeheshimu na kuthamini wateja wake. Ndio maana utakufa masikini. Mtu yeyote mwenye akili ataona hii kuwa ni fursa.
 
Akili ya mke mwenza hii. Siyo akili ya mfanyabiashara anayeheshimu na kuthamini wateja wake. Ndio maana utakufa masikini. Mtu yeyote mwenye akili ataona hii kuwa ni fursa.
There is nothing u r getting if the cargo comes from Mombasa! The cargo has to come from Dar n Tanga! In this logistic business in the region there more than what u can see as far unfair practices r concerned ! Kenya is a rival to us n only a stupid person will not see that! The good thing is the current govt is aware of these hand twisting moves!
 
Tit-for-tat ni akili ya kishetani. Watu wamefunga mipaka kwa vile mnawapelekea corona. halafu mnajifanya eti mnaonewa wivu na majirani zenu. Mi Mtanzania lakini nina akili ya kuelewa kwa nini majirani zetu wamefunga mipaka. After all, dunia nzima imefanya hivyo kwa sababu ambazo ziko wazi.
 
Kuna huyu governor wao "Bichwa" Ole Lenku kafunga borders za Tanzania/Kenya jana mchana usiku mafuriko huko Western! sasa namuambia JPM asiruhusu trucks za kutoka Mombasa ports kuingia Tanzania!

Namkumbuka huyu gavana, hana maono ya namna ya mahusiano ya nchi na nchi huamuliwa Nairobi au Dodoma na siyo Kajiado.
 
Namkumbuka huyu gavana, hana maono ya namna ya mahusiano ya nchi na nchi huamuliwa Nairobi au Dodoma na siyo Kajiado.
ni kama zile ng'ombe zilizopigwa mnada baadhi zilikuwa zake! Huyu atakuwa ana baraka za Uhuru!
 
Just keep quiet and learn some Geography. You're embarrassing yourself.
 
Hii yote ni blabla tu, chanzo ni

Obado Declares War on Magufuli's Escapees [VIDEO]
 
Kuna huyu governor wao "Bichwa" Ole Lenku kafunga borders za Tanzania/Kenya jana mchana usiku mafuriko huko Western! sasa namuambia JPM asiruhusu trucks za kutoka Mombasa ports kuingia Tanzania!

Buda, lakini hii story imekuuma. Sii siri.😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…