Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

[emoji38][emoji38][emoji38] ngoja kuche kwanza , kama kawaida yake ndugu kiherehere akampa muda mfupi mzee wa kuongea lakini mzee akagoma na kupitiliza dakika alizopewa , na kagoma hadharani
Kuchele...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes indeed, Lissu and Ponda make a formidable dream team! 💪🏽💪🏽💪🏽
 
Haki huliinua Taifa
Habari MTANZANIA, Naitwa TUNDU LISSU, nagombea Urais kupitia CHADEMA. Nina nia na dhamira ya kweli ya kuibadilisha nchi yetu.

Uwezo ninao na rasilimali tunazo, biashara wakubwa na wadogo zitasitawi, nitaondoa msururu wa kodi na ushuru kwa wafanyabiashara, na zaidi ya yote nitasimamia HAKI na UHURU kwa Watu wote.

Nitatokomeza RUSHWA, UNYANYASAJI na UTEKAJI unaofanywa na Watu wasiojulikana.

Nitaongeza ajira, elimu bora bure, hudume bora za afya, hifadhi ya jamii kwa wafanyakazi, wazee, watoto na walemavu.

Kwa heshima kubwa nakuomba KURA yako tarehe 28.10.2020.

Nakuomba utume ujumbe huu kwa Watanzania 50. MUNGU akubariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kura zote Chadema!
Unachukua karatasi unashuka prrrrrrrr! Hadi jina la mwisho TUNDU ANTIPASI LISSU [emoji736]
Mbunge Chadema
Diwani Chadema
Kisha umamlinda wakala na kura hadi kieleweke!!
 
Kura zote Chadema!
Unachukua karatasi unashuka prrrrrrrr! Hadi jina la mwisho TUNDU ANTIPASI LISSU [emoji736]
Mbunge Chadema
Diwani Chadema
Kisha umamlinda wakala na kura hadi kieleweke!!
Hebu msikize huyu juha hapa ..wamejisahau mno
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaongea kuhusu kuchagua chama hapa. Nimeongea kuhusu mashekhe wa uamshi ambao ndio kura turufu inayotumika
Kwanini hao wako ndani? Atawatoa kwa vigezo gani?
ndani ya siku 100 za utawala wa Lissu kila kosa litakuwa linadhaminika.
 
jambo hili hata mie limeniacha hoii
wameongea weeee viongozi mbalimbali wa dini wakisifia na kuunga juhudi pakawa kimyaaaa
ila kaamka Ponda na tamko moja tuu kizaazaa kimeanzaa
hatari saaana aiseee
 
jambo hili hata mie limeniacha hoii
wameongea weeee viongozi mbalimbali wa dini wakisifia na kuunga juhudi pakawa kimyaaaa
ila kaamka Ponda na tamko moja tuu kizaazaa kimeanzaa
hatari saaana aiseee
ila kaamka Ponda na tamko moja tuu kizaazaa kimeanzaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndani ya siku 100 za utawala wa Lissu kila kosa litakuwa linadhaminika.

I think that should be the case overall. But even in the developed world, there are issues which there is no way the suspected offender can be bailed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…