Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
Hatred can never be decorated with borrowed coated poisonI'm glad you know it, the acknowledge others' opinions.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatred can never be decorated with borrowed coated poisonI'm glad you know it, the acknowledge others' opinions.
Having an opinion against Lissu isn't hatred, I'm seeing him as a great person but not a presidential material.
Repeated negative attitudes towards one entity explains it allHaving an opinion against Lissu isn't hatred, I'm seeing him as a great person but not a presidential material.
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Mungu abariki na iwe hivyo!
Ya pili ndio inapata chaji zaidiMshana Jr MEKO YUPO MSATA LEO...HUJAMSOGELEA KARIBU UONE ANAONGEA NN? NASIKIA ANAKUWAGA NA SPEECH MBILI.MOJA NI YA KUSHINDA NA YA PILI KUSHINDWA
That's your opinion!
Kwa katiba yetu swala la mtu kuwa ndani au nje linategemea maamuzi ya mamlaka kwa kiasi kikubwa , baby seya alifungwa na ametolewa jela kimasihara tu ,Sijaongea kuhusu kuchagua chama hapa. Nimeongea kuhusu mashekhe wa uamshi ambao ndio kura turufu inayotumika
Kwanini hao wako ndani? Atawatoa kwa vigezo gani?
Kwa heriniTunakwenda na Lissu
Najua,Mtani mimi jirani yako ujue....!!!
Ahahahahahahahah! The Prophet of Hell and The Messenger of Evil have never won!Hakika lissu is prophet Alive and Ponda is God messenger Alive both are the victors
Ahahahahahahahah! The Prophet of Hell and The Messenger of Evil have never won!
[emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa unafujo sana
Unaambiwa wamechanganyikiwa hadi kufika JK na polepole kugombea mic bagamoyo !It might be a memorable moment to remember!
Mgombea urais mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CDM ametua mjini Karatu muda wa jioni akiwa kachelewa. Na kwa kuheshimu sheria za uchaguzi ameamua kuahirisha mkutano mpaka kesho saa tatu asubuhi.
Kuna mambo kadhaa ya kuvutia na kufutahisha yametokea
1. Lissu amesema anaweka kambi hapo uwanjani. HATOKI atalala hapo. Just imagine wananchi atakaokesha nao na kumbukumbuku watakayotengeneza, ni siku muhimu sana hii.
2. Ujio wa Sheikh mtata kwenye kampeni za Lissu. Sheikh Ponda Issa Ponda, kuna common interest kati ya wawili hawa, wanajiamini sana.
Hawaogopi. Wamefunguliwa makesi mengi kwa nyakati tofauti. Wamekamatwa mara nyingi na kuwekwa mahabusu mara nyingi pia
Wana ushawishi wa ajabu. Imagine usiku huu watakapokuwa pamoja na story watakazopiga. A HISTORY MADE!
3. Kauli ya Sheikh Ponda kuwa 'wamekubaliana' kura zote za Waislam kwa Lissu na CHADEMA! Hili limezua taharuki kubwa upande wa pili maana hawakulitegemea hili hasa kwa kipindi ambacho wameelemewa mno.
Wakati Lissu na Ponda wakiwa Karatu wanapiga story za furaha na wananchi. Huko mjini dalisalama kilinge cha masheikh kimekusanywa kutoa tamko la kulaani na kuikana kauli ya Ponda.
Kuna wakati kuna mambo yanachekesha sana wakati wanakusanywa manabii mia nne tulikaa kimya, baadae wakaitwa viongozi kundi zima wa dini mbalimbali kusifia mazuri ya hii awamu, hatukusema kitu pia. Leo hii kauli moja tu ya Ponda imewatoa nyoka wote pangoni.
Ponda keshasema na wakusikia wamesikia. Ufuasi wa Ponda na ushawishi wake kwa watu mbalimbali unafahamika wazi. Ushawishi wa Tundu Lissu pia uko wazi. Usiku mmoja wa wawili hawa ni unabii mwingine unaopeleka hofu kubwa na bayana huko kwingine!
Usiku mmoja na Lissu na Ponda hapo uwanjani Karatu na wananchi wao na chopa lao. Ni nani angependa kuikosa siku hii muhimu na ya kihistotria?
Nitajiunga nao usiku huu KIROHO niwe sehemu ya historia.
A NITE WITH LISSU AND PONDA; POLITICIAN and SPIRITUAL LEADER. History made!