Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

Wacha lisu awafurahishe dak za mwisho mwisho
 
Siasa za Tz naona zinazidi kuingia kaburini, hawa viongozi wanaotumika na vyama kuhamasisha watu wa dini fulani kukupigia chama fulani imefika sehemu ambayo soon tutaanza kubaguana. Huu binafsi naona ni ujinga haya mavyama yote kutumia dini kama fimbo.
 
Katika mashehe wasio wanafiki na wasioogopa kukosoa watawala mafisadi,katili,waongo,walaghai ni Huyu Sheikh Ponda ,tangu utawala wa Kikwete amekua akipambana kutetea haki ya Watanzania,acheni wale mashehe ubwabwa Alhaji na yule mufti wanafiki tu na bakwata yao
Leo hii kauli moja tu ya Ponda imewatoa nyoka wote pangoni
 
WaTz ni wanafki sana !!. Majuzi sheikh Alhadi Salum wa Dsm alipopanda jukwaani kuiombea Ccm na Maghufuli miaka mitano watu hawakuhoji !!. Mwezi uliopita viongozi wa dini walikusanywa Dodoma kwa nia sawa na hiyo. Watu hawakuhoji !!.

Leo kwa sababu nyumba ya kambo imepata shavu askofu Bagonza, sheikh Ponda na askofu Mwamakula . Ñyoka wote wametoka pangoni !!. Huu ni unafiki wa hali ya juu
Leo hii kauli moja tu ya Ponda imewatoa nyoka wote pangoni
 
NYIE ENDELEENI KUKESHA ILA RAIS NI #JPM TU.
 
Back
Top Bottom