A.R. MIGIRO: at last kafunika nywele

A.R. MIGIRO: at last kafunika nywele

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
bado mwenzie Tibaijuka

mana haikatazwi kuweka Afro lakini bibie lle afro lake lilikuwa linakuwa out of control

halafu naona ana shine kweli kweli hapa:

slide_639_12936_large.jpg

BTW
hii ilikuwa juzi kwenye hafla ya Glamour's Women Of The Year Awards in NYC
 
Nilifikiri kafunika kwa mitindo ya kiarabu ningeghafirika.Hivi katoka chicha tena mswano hata afro lake nalifagilia.
 
well nadhani tuanze kuzungumzia mambo ya mikufu! mbona siyo kama wa dhahabu au ndiyo uzee wenyewe..
 
bado mwenzie Tibaijuka

mana haikatazwi kuweka Afro lakini bibie lle afro lake lilikuwa linakuwa out of control

halafu naona ana shine kweli kweli hapa:

slide_639_12936_large.jpg

BTW
hii ilikuwa juzi kwenye hafla ya Glamour's Women Of The Year Awards in NYC

This is very interesting and entertaining!

You can never know what to expect in JF...! Anything from serious BUSINESS to fun, jokes, commedy,.....etc!
 
well nadhani tuanze kuzungumzia mambo ya mikufu! mbona siyo kama wa dhahabu au ndiyo uzee wenyewe..
__________________

TEEETEEEEH!!!!!!!!mwanakijiji angalia rangi ya nguo aliyovaa na mkufu,mwenzio kamechisha babu!!!huku hawaangali gold wala silver
 
True,,,, na labda yuko kwenye 40 ya brother wake aliyeuwawa na polisi kule Moshi kama mwezi mmoja uliopita. Who knows!
 
Nadhani hilo vazi alilotoka nalo siku hiyo lilimlazim apige na kilemba otherwise si mara nyingi kufunia kichwa...But still she looks pretty na afro yake!!!
 
Jamani kweli bongo nja kali!!!!hakuna mwembamba duniani
mnaumbuka mama yetu wakati akitoka uswahilini ,sasa hivi mama shavu hinya
dimpos zinachanua tu!!!mzee sasa ivi inabidi afanye mazoezi ya ziada
big up mzazi!!!
 
sasa ameshindwa kumechisha hicho kilemba, mkufu, na gauni? ile miwani yake yenye uzi havai siku hizi au ndiyo anaenda na contacts?

Suki: I have no idea why we are discussing this..
 
well nadhani tuanze kuzungumzia mambo ya mikufu! mbona siyo kama wa dhahabu au ndiyo uzee wenyewe..

Huo mkufu unaendena na rangi ya hiyo gauni/blouse aliyovaa 🙂 Kamechisha ati! 🙂
 
sasa ameshindwa kumechisha hicho kilemba, mkufu, na gauni? ile miwani yake yenye uzi havai siku hizi au ndiyo anaenda na contacts?

Suki: I have no idea why we are discussing this..

this is better than talking abt ufisadi and all that ish..inachosha na kusikitisha wacha tusonge na maisha lasi ivyo tudata wote!! funny thing when i was back in dar during the summer time on the street..no one discusses politics as we think here in jf..watu watasoma magazeti wanadiscuss watalewa watalala...

glad to be a member here... 🙂
 
sasa ameshindwa kumechisha hicho kilemba, mkufu, na gauni? ile miwani yake yenye uzi havai siku hizi au ndiyo anaenda na contacts?

Suki: I have no idea why we are discussing this..

Kilemba, mkufu, gauni, hereni....

Kwa kuwa kamechisha kilemba na lips, naamini kuna visivyooneshwa vime-match. Pochi n.k.

.
 
well nadhani tuanze kuzungumzia mambo ya mikufu! mbona siyo kama wa dhahabu au ndiyo uzee wenyewe..
__________________

TEEETEEEEH!!!!!!!!mwanakijiji angalia rangi ya nguo aliyovaa na mkufu,mwenzio kamechisha babu!!!huku hawaangali gold wala silver

Umesahau na machoni wanja, masikioni hereni pia kamechisha,
 
sasa ameshindwa kumechisha hicho kilemba, mkufu, na gauni? ile miwani yake yenye uzi havai siku hizi au ndiyo anaenda na contacts?

Suki: I have no idea why we are discussing this..

Mwanakijiji nafikiri ni kwa sababu tumekosa cha kudiscuss, weka mambo hapa au kainzi kapo likizo?, hii itaondoka yenyewe nobody will be interested to discuss this if serious issues will be brought here.
 
Back
Top Bottom