Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
- Thread starter
- #21
Hebu mie niende kwenye utamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well nadhani tuanze kuzungumzia mambo ya mikufu! mbona siyo kama wa dhahabu au ndiyo uzee wenyewe..
__________________
TEEETEEEEH!!!!!!!!mwanakijiji angalia rangi ya nguo aliyovaa na mkufu,mwenzio kamechisha babu!!!huku hawaangali gold wala silver
Nadhani hilo vazi alilotoka nalo siku hiyo lilimlazim apige na kilemba otherwise si mara nyingi kufunia kichwa...But still she looks pretty na afro yake!!!
bado mwenzie Tibaijuka
mana haikatazwi kuweka Afro lakini bibie lle afro lake lilikuwa linakuwa out of control
halafu naona ana shine kweli kweli hapa:
![]()
BTW
hii ilikuwa juzi kwenye hafla ya Glamour's Women Of The Year Awards in NYC
Mwanakijiji nafikiri ni kwa sababu tumekosa cha kudiscuss, weka mambo hapa au kainzi kapo likizo?, hii itaondoka yenyewe nobody will be interested to discuss this if serious issues will be brought here.
Naona kama vile hiyo rangi juu ya kope ("eye shadow") imekuwa overemphasized! But I agree she looks pretty and african!
Katoka vizuri kiafrika ila make-up kidogo imemharibia haiba yake ya asili.
![]()
Kaka GT kwa mtazamo wako nani zaidi(mkali) kati ya Mheshimiwa Asha na balozi Mwanaidi? Mimi mkali namuona Asha
This is very interesting and entertaining!
You can never know what to expect in JF...! Anything from serious BUSINESS to fun, jokes, commedy,. ....etc!