A rare picture of people who had sex before marriage

Sikutishi najaribu kukuelezea yatakyokukuta endapo hutamrejea Mungu
Yap yatanikuta? Kwahiyo huyo Mungu yeye anajua kuadhibu tu? Washika dini kwel nyie ni pumbaaa kabisaa...tafuta elimu aisee Muumba wa kwel hapatikan ktk hayo magenge yenu ya dini alafu kuhoji si dhambi Wala si kosa kwamba ukiuliza swal basi unahukumiwa, huyo Mungu wenu katiri hafai kuabudiwa kwakuwa amejawa chuki na visasi.[emoji23][emoji23]
 
Unajua kwasababu huna roho mtakatifu ndio maana unaita maneno matakatifu pumba?

Hujachelewa njoo ufate mwanga achana na hilo giza, njoo ule baraka huu sio muda wa baga na piza
 
Na km walikung'utana kabla ya Ndoa lkn wakatubu,hapo vipi mtoa uzi???
Toba ya ukweli inafuta dhambi , sasa kama umefanya dhambi ujiue ? wakati mwingi wa huruma yupo na yeye ndiye mwenye kupokea Toba
 
Back
Top Bottom