The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ha ha haaa! Hapo utakuwa unaharibu msingi wa jina! Msingi wa jina ni "ki". Mpenda maboga wa kike kajiita "da kiboga"; mpenda bamia wa kike "da kibamia" na mpenda bamia wa kiume .....?
Japokuwa kuna maboga makubwa lakini katumia "kiboga" yaani kiboga kidogo. Sasa wengine wote tunafuata msingi huo huo! Lol!
Huyo Da Kiboga anajua anachokitangaza...
angependa maboga angejiita da maboga