Nyamayao vigezo ni muhimu, vipo ambavyo sio strict vingine ni strict, na mwanamke kuwa mtafutaji sio kigezo cha kuwa mke bora, masuala ya elimu ni kuhakikisha unakuwa na mtu mnaeongea lugha moja.
Humu ndani kuna confession ya watu waliofanikiwa kama ni kweli. Am just trying my lucky, who knows!!!
Hujanipata kweli, simaanishi kiingeraza dada Nyamayao lugha moja maana yake, uwezo unaofanana wa kuchambua mambo. Nadhani umenielewaoohh plzzz, unataka kuniambia wote waliiooana wasomi wanaongea lugha moja? au sijakupata, usikute unamaanisha "kiingereza"?
Hujanipata kweli, simaanishi kiingeraza dada Nyamayao lugha moja maana yake, uwezo unaofanana wa kuchambua mambo. Nadhani umenielewa
So kwenda shule hakusaidii kuongeza uwezo wa kuchambua mambo, sijui kama ndio unachomaanisha, hivi kuendana na kufanana ni tofauti, labda.uwezo wa kuchambua mambo hauwezi kufanana bali unaweza kuendana, na kuna wasomi wa darasani but kwenye maisha kiujumla ni mabogus hatari, uwezo wa kuchambua mambo hauendani hata kidunchu na kisomo.
mhh, nahisi tutakehsa, nikutakie kila kheri inshallaah upate hitaji la moyo wako.So kwenda shule hakusaidii kuongeza uwezo wa kuchambua mambo, sijui kama ndio unachomaanisha, hivi kuendana na kufanana ni tofauti, labda.
ungekuwa hujawai kuoa ningejitosa ,mambo ya ukewenza bwana magumu. nije kupigwa bure? mwanamke gani anakubali mume wake aoe tena?So kwenda shule hakusaidii kuongeza uwezo wa kuchambua mambo, sijui kama ndio unachomaanisha, hivi kuendana na kufanana ni tofauti, labda.
Jamni mwenzenu umri unakwenda, nimechoka upweke, i have got no time for jokes.
Si wote wanafanyiana visa, wengine wanakuwa wanne, wanaishi nyumba moja kwa amani raha mustarehe wakimuhudumia kwa zamu la-aziz wao, unaweza ukawa kati ya hao ambao wanaoishi vizuriatanifanyia visa,sitoishi na wewe kwa amani bwana.mi sipendi fujo sina nguvu za kupigana kabisa
Mimi ni mwanaume, 37
years of age, ni baba wa watoto wawili, wote wa kike, nimezaa na
mwanamke mmoja, watoto wote, aliyekuwa mke wangu kabla ndoa yetu
haijavunjika (sababu baadae). Nina masters degree ya udaktari , nafanya
kazi katika hospitali moja ya mkoa. Natafuta mtu wa kumaliza nae maisha.
hildejuisi@hotmail.com
Kunatofauti kati ya msomi na asiyenda shule huwa ni vigumu sana kuelewana kutokana na huwezo wake wa kufikiri maswala ya kifamilia hata ushauri piaoohh plzzz, unataka kuniambia wote waliiooana wasomi wanaongea lugha moja? au sijakupata, usikute unamaanisha "kiingereza"?