Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Nyamayao vigezo ni muhimu, vipo ambavyo sio strict vingine ni strict, na mwanamke kuwa mtafutaji sio kigezo cha kuwa mke bora, masuala ya elimu ni kuhakikisha unakuwa na mtu mnaeongea lugha moja.
Humu ndani kuna confession ya watu waliofanikiwa kama ni kweli. Am just trying my lucky, who knows!!!
oohh plzzz, unataka kuniambia wote waliiooana wasomi wanaongea lugha moja? au sijakupata, usikute unamaanisha "kiingereza"?