A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Bado karma kwa;
1. Kabendera
2. Lissu
Mbona utakoma?

Hivi Pascal kaka si huwa tunakuonya sana jukwaani kuwa ubadilike?
Kumbe tabia ya kuumiza umeianza kitambo?
 
Shombe atakuwa mwanadiplomasi, naibu km mstaafu, w mnj mstaafu drAM? AU NI ZM?

braza paskal ubish wako ndo unakukosesa ulaji. mpigie simu dr mwinyi ampange mama akupe ubaloz wa rwanda huko ili ukaiwakilishe nch.

wasukuma tatizo letu huwa hatuna kumnyenyekea mtu, punguza ubishi.
 
Sio Rosa banji kwelii?
 
Paskali, nikwambie kitu ndg, tena ni marudio sababu niliwahi kukwambia hapo nyuma, sidhani kama kukosa nafasi yeyote ya ajira ni kwa sababu ya ngekewa, nyota nk.

Kuna wakati mfumo wa maisha yetu na hasa ulichokiandika hapa ndicho kinatuharibia future yetu,
(repeated) mara kadhaa waandishi huwa wanajisahau sana wakidhani wapo juu ya kila kitu, hata tasnia nyingine, tunapaswa kutambua serikali ni serikali tu, mfano unapopigika nowadays haujui kama unafanyiwa ila unaona kama ni kawaida tu.

They can do any to you!.

Shangaa waandishi wangapi unawapita ujuzi, elimu nk but wanakula bata na maisha yanasonga wewe kila siku unalamba garasa!.
 

Vitu vichache:

“Na kama mhusika ni mwanamke, na sisi watu wa Kanda ile na ule udhaifu wetu na wanawake weupe!, then unaitumia hiyo news tip kama fimbo ya kumchapia au gear ya kuingilia ili ...!”

Kijana mwenye tabia Hii hata akiwa Mzee tabia ni hiyo hiyo!
 
Pascal Mayalla umetufunza kitu muhimu ktk maisha. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…