A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Nina huyo mama yupo jf na ameupitia huu uzi tyr anatafakari akufanye kitu gani?? Ogea maji ya chumvi km tiba
 
Nimekosa mimi nimejikuta nacheka 😂😂😂😂
 
Paskali we si umesema ulikua mwandishi nguli uliyekua unaambatana na Rais Mkapa sasa umeshindwaje kuwa na connection nguli? Huoni makamba leo no Waziri na Mkapa mwenyewe alikuwa Rais.


Kama ni Shyrose Banji mtafute Jaffarai akakuombee radhi yule maza ni muelewa na anapenda digi digi.
 
Somo zuri lenye weledi. Ila ningekuwa huyo dada ningekupitisha tu ili ujitafakari zaidi. Usilipe baya kwa baya hata vitabu vitakatifu vinakazia. Japo ni chai ila umeikoleza vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlio karibu na Paskali hebu msaidieni kumwambia kuwa si vizuri kumsema hadharani mwanamke uliyemtambulisha hadharani kuwa ulitaka kumgegeda(kumtafuna), hayo hufanyika baa na vilabu vya pombe tu.
Paskali anabidi atambue huyo mama huenda ni mke na ana watoto, si yule aliyempanchi miaka ile.
 
Hahaa we jamaa
 
Kwamba we ndio unamjua sana huyo dad au ujuaji unakuwasha?
 
Pole sana.Ni maisha tu na kuna vitu huwez kukwepa.Just dont regret. Isamehe nafsi yako inatosha usimfuate wala kumtafuta let the circumstance resolve itself whether for good or bad uzur ushakuwa aware of what may possibly happen inatosha.

Tatizo sio wewe kwa 100% tatizo mnyetishaji wako wa ughaibuni.

All in all ndio maisha.
 
Licha ya mapungufu ya kibinadamu kama mtu mwengine yeyote, Binafsi huwa naamini una kitu kikubwa ndani yako. Kuna kipindi cha PPR kama sijakosea, nilikuwa mfuatiliaji wako mkubwa sana, nilipoacha kukuona kwenye maonyesho kupitia hcho kipindi na interest ya kufuatilia ikafa kabisa.
* There is always that day* and you will achieve the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…