A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Wewe mzee wa ajabu sana, kusudi lako lilikuwa nini kuandika huu ujinga wako humu ndani?
 

Na kabendera pia muombe radhi. Karma yake itaondoka na wewe
 
Una hali flani kama ya kujiamini mnoo na kujihisi upo vizuri kichwani jambo ambalo siyo zuri machoni pa wengi.Nakuomba ulitafakari bro japo kwa umri wako ni ngumu kurekebisha au hata ukirekebisha haisaidii sana!
 
Bora hata ww umekiri wazi wazi...wengine wanakuponda na kukukejeli na dharau juu yake....kwanza pole sana mkuu...humu wapo ambao wamefanya mabaya zaidi kuliko hata ili bandiko lako lakin kwa kuwa jamii forum ni kichaka ni vyema kupotezea....umetoa funzo kubwa sana sana kupitia hili bandiko lako...hongera mkuu..
 
Je huyo dada asingekuwa boss wa interview yako ungekumbuka ubaya uliotenda!? Ungeandika huu uzi wa majuto.

Tusiwe wanafiki.
Naamini umeandika haya akili yako ikikwambia huenda huyo mmama akapita JF akauona uzi wako wa majuto akakuonea huruma.

Tusithaminiane kwa kitu bali utu.
 
Kukubali makosa ni kukua kukubwa kiakili. Wachache sana wanaweza fanya hivi..!! Big up sana bro kwa hili..
 
his fun? bora ungeandika kiswahili tu
 
How did you deal with it?
Maombi kwa sana
Lakini pia kujitahidi kuwa mimi no matter what. Maana kama mtu anakuchukia tu bila sababu ya msingi unadhani utafanyaje kumfanya akuelewe? Unapotezea unasonga mbele.
Nilivyoamua kuwapuuza na kufanya yangu wakaanza kujipendekeza wao wenyewe ila me kwa sasa niko busy wala siwajali.
 
Kweli yani hilo ndilo muhimu confidence tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…