A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

Kweli yani hilo ndilo muhimu confidence tu
Ndo dawa pekee
Halafu mimi hawa walikuwa ndugu wa damu kabisaa na mmoja tu ndo aliamua kunipaka matope na kuwaaminisha wengine vitu visivyokuwepo hadi wakanichukulia hivyo kwa wivu wake tu. Ili ujisikie vizuri wakamate sana wale wanaokuelewa na kukupenda hata kama ni mmoja...
 
Anaweza kukusamehe au anaweza asikusamehe.
Kilichomfanya akuite akukumbushe kuna jambo limejificha hapo.

Najiuliza why?kama anataka kukukata angetulia kimya.
 
Bwana wee !! ile ilikuwa kazi yako uliyoipenda km kazi nyingine na ukabarikiwa kuwa nayo sasa ungefanyaje?? na habari zimekuja zenyewe na ndo kazi yako!! wewe fanya uwezavyo akikulipua sawa tu!..songa mbele!

akikusaidia pia sawa tu!!! Nasema usiogopeeeeee!! songa mbele mwanamume! ......Mungu akitaka atakupa nyingine JiSukuma gani unakuwa joga ivooo!!...na

hata akikulipua ukaikosa hiyo nafasi tena ukajua kuwa amekulipua!! Wewe kamwe hukombele usilipize kisasi kwake! endapo km itaja kutokea hivo either kwa mwanae au hata yeye mwenyewe ...sahau...yaliyo pita...

Tena bahati nzuri huyo ni mwanamke!! mnaweza ungana huko mbele ya safari Kiaina kupitia watoto wenu!! au hata mdogo wako, Rafiki , jirani hata ukoo wako pia! aliye lipa kisasi atabaki kuona aibu mpaka kinamuua!!

Kuwa Mwanaume bana! kakifua kenyewe kako wapi hako ka kutunza majimambo meeengi!!! utalipa mangapi hapa Duniani??...sahau!!! sahau!!! sahau!!!! ndo dawa pekee nakusaidia Bureee!

Kama akikulipia hayo mbaya yako ulomtendea !! amini nakwambia wewe utapata Nafuuu sana!! kuwa sasa ume-ballance!!!

Lkn kama akikulipa wema Mawee!! amini wema wake huo unakata km Makali ya kisu! maishani..... ndo tulivyo sisi watu!
 
...Tena Sio ' You might MEET them on Your Way down!..
..Aa aa...
...Sema 'You might NEED them on you Way Down...! Pole
 
Paskali hii habari kama si riwaya ya kuburudisha na kufikirisha, ikawa na ukweli wowote basi ina funzo baya.

Umesema wazi kuwa hiyo habari ya huyo mmama uliipata katika vyanzo ambavyo wewe uliviamini kuwa ni vya kweli na hasa nafsi yako ilivyoiamini bila shaka, basi habari hizo katika nafsi yako zilikuwa ni za kweli.

Kutokana na taaluma pamoja na wajibu wako kipindi hicho, kosa lako liko wapi hapo hapo?

Mfano unaotupatia sasa, ni sawa na askari Polisi anayejuta kushindwa kumwachilia mtuhumiwa wa kudhaniwa aliyejitetea kwake kwamba hahusiki na kosa na kuomba aachiwe kisha akamswendemwa ndani.

Tukiwa na mawazo hayo ya kuchepusha haki na kutokuwajibika katika wajibu wetu, kwa kuogopa lawama, basi jamii na Taifa litakuwa na watu wa michongo michongo tu ya upendeleo na rushwa kutamalaki.

Ningelikusapoti kama ungelijuta kwa kumkosea huyo mmama kurusha 'saga' lake bila kulichuja ama kulihakiki na pia 'lust' yako ya rushwa ya ngono uzembe kwake.

Lakini hili la kukataa kubembelezwa na kisha kutimiza wajibu wako, siyo kosa la kujutia hilo wanyumbani.
 
Paskali pole kwa kuvuna ulichopanda miongo mitatu iliyopita.
Hakika hili ni darasa tosha kwetu sote.

Ila, kwa jinsi ulivyoliweka ni kama kuandaa watu kisaikolojia ili wasikupopoe pindi utakapoangukia pua kama walivyofanya kipindi kile cha kura moja.

Ninakutia moyo mwamba...endelea kupambana bila kujali maneno wala umri.
Maadam uko 'fiti' kiafya, kila mtu kuna analoliweza...hata mwemye miaka mia ana nafasi na analoliweza kwenye jamii.
 
...Tena Sio ' You might MEET them on Your Way down!..
..Aa aa...
...Sema 'You might NEED them on you Way Down...! Pole
SIKIA SASA TECHNIC NAWAPA BURE! ''On your way down'' if it happened to some one else among you!!! ...... just Pretend as if you don't remember all those past nasty stuffs she/he's talking about! ......

ignore them in a psychological smart way, Completely!...no matter how far she/he gonna remind you to your Medulla oblongata !! try to push dem away as mu as you can! from your Memories!

Continue to behave strange ( like dis way) .....even if' t really happened! ......dat U're working together! . let say in ..one office/Department position! but be nice to him/her!... to cure your heart!

let him/her remind you as much as he can! but for the sake of keepin' your heart healthy!! don't take dem! deep down onto your heart!...itaenda ivooo itapoaaa! .....weye si ulikuwa kazini bana sasaje!........

tena sometimes mwambie mlifanya makubwa zaidi ya hayo mkaponea chupu chupu kufa!! akikukumbusha hayo wewe jifanye kumuunganisha na zile kesi za uhaini! halafu muulize sasa kwa nini mlitaka kuniua!
 
Hii njia nzuri , shida ni kuwa inahitaji ujasiri sana kuonesha hukumbuki chochote
 
Naahidi kuwa mtu mwema zaidi sasa na yale mazuri yote ninayoitendea nchi yangu, hata bila uteuzi nitaendelea kuyatenda na kuwa raia mwema wa JMT

Mungu nisaidie.
Amen.
Wacha nicheke kwanza kama mazuri! Ila Kasukuma wewe kajinga sana! Unavyoandikaga sasa hizo story zako, mtu hata kama ulikuwa hutaki kusoma UTASOMA tu! Nimependa jinsi ulivyotubu! Kwa kweli hili liwe fundisho kwa vijana wanapenda sana kupandisha mabega!
 
Pascal, hutakiwi kuwa na wasiwasi juu ya hili. Huyo mama kujionyesha kwako ni dhamira iliyokuwa moyoni mwake kwa jambo ulilofanya miaka ya nyuma. Lakini halitakuwa na uhusiano wowote na matokeo ya interview. Kama ingekuwa ni kisirani, angekuchinjia baharini bila hata kujionyesha kwako.

Kwa sisi Wakristo, kuna kitu tunaita ''nadhiri''. Mtu unaahidi ndani ya moyo wako, kwamba lazima uje ukitimize katika uhai wako. Inaonekana huyo mama aliweka nadhiri juu yako kwamba ukiingia kwenye anga zake atakukumbusha jambo ulilomfanyia. Kwa hivyo, sasa hivi roho yake imeridhika kwakuwa ametimiza nadhiri yake kabla ya mwisho wa maisha yake hapa duniani.

Matokeo yoyote (ya interview) utakayopata, yatatokana na jinsi ulivyojibu maswali, na si vinginevyo. Japo huyo mama anaweza pia akahusisha personality yako kama advantage (ambayo pia ni sahihi), lakini kwa saikolojia ya kawaida, inaonyesha hana kisirani na hilo jambo.
 
Kosa lake ni "blackmailing "
 
Kila siku kuna la kujifunza kwenye maisha, haijalishi una umri gani, utaendele kujifunza tuu.

Hili ni funzo kubwa kwako na sisi wengine katika safari ya maisha.

Amini, utasemehewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…