fleet admiral
Member
- Sep 24, 2021
- 7
- 11
Quality time^And you need someone to spend some time with^
KwakweliFuta hiyo Namba 3 katika vigezo vya mwanamke umtakae
Mwanaume kamili hatafuti financial independent girl. Unakinzana na nature. Mwanaume anatafuta mdada mrembo, mzuri anayejiheshimu na mwenye heshima fullstop. Hata kama mdada ana pesa vipi jitahidi awe financial dependent kwako. Utakaa Kwa amani
Ukilazimisha huyo financial independent usije kulalamika hapa next time.
Am confident and I know what qualities am looking for in a lady.... So financial dependent lady unaweza ukam control kwa fedha yako, ila mm sina interest hiyo. Relationships hazihitaji manipulation, just mutual understanding and enjoying ๐Futa hiyo Namba 3 katika vigezo vya mwanamke umtakae
Mwanaume kamili hatafuti financial independent girl. Unakinzana na nature. Mwanaume anatafuta mdada mrembo, mzuri anayejiheshimu na mwenye heshima fullstop. Hata kama mdada ana pesa vipi jitahidi awe financial dependent kwako. Utakaa Kwa amani
Ukilazimisha huyo financial independent usije kulalamika hapa next time.
Jamaa anataka ku implement 50/50 kwa vitendo๐๐.Haiombwi hivyo..financial independent my foot.Unataka tu kukimbia majukum "bahili"
We jina lako tu hafu usiongelee namba 3?How old are you Mr.Smart? Here i am but lacking the quality no 1 and 3, is it ok with you? Is there anything to do with the lady's financial independence?, Do you believe in 50/50?
Ni jina tu mkuu, mi naitwa Chausiku from Buza๐We jina lako tu hafu usiongelee namba 3?
Huyo anatafuta jimama la kumlea liwe linampa hela ya pombe,sigara na kubetia.Futa hiyo Namba 3 katika vigezo vya mwanamke umtakae
Mwanaume kamili hatafuti financial independent girl. Unakinzana na nature. Mwanaume anatafuta mdada mrembo, mzuri anayejiheshimu na mwenye heshima fullstop. Hata kama mdada ana pesa vipi jitahidi awe financial dependent kwako. Utakaa Kwa amani
Ukilazimisha huyo financial independent usije kulalamika hapa next time.
Akasome upya katiba ya mapenzi ndo arudi tena hapa[emoji38].Mwanaume ni kuhudumia bana hata kama bibi anafanya kazi.Tena raha sana kupewa pesa na bwana.Nadhani sauti ipo Sawa. HahahaaaJamaa anataka ku implement 50/50 kwa vitendo[emoji3][emoji3].
....ya kubetia๐๐๐๐Huyo anatafuta jimama la kumlea liwe linampa hela ya pombe,sigara na kubetia.
Worry not finance lady, utapata tu wa kufanana naye.How old are you Mr.Smart? Here i am but lacking the quality no 1 and 3, is it ok with you? Is there anything to do with the lady's financial independence?, Do you believe in 50/50?
Bahili mno[emoji23][emoji23][emoji23]Haiombwi hivyo..financial independent my foot.Unataka tu kukimbia majukum "bahili"
Umeona eeehhh!!!!Bahili mno[emoji23][emoji23][emoji23]