A smart and matured lady

A smart and matured lady

Ila wachaga ni wa bahili kupitiliza, ati financial independent?wewe zako utakuwa unakula na nani,? Kama ndo hivyo utachapiwa hadi nyumbani kwako.
 
Hili tangazo limekaa kimkakati sana, apo kwa kiswahili ni hivi;

anatafutwa mwanamke mshangazi mwenyw uchumi wake, ila awe mpweke ili apate kijana mtanashati wakumliwaza.

Samahani Mkuu nimeona nikurahisishie tu kazi.

#SemaUsikike [emoji23]
 
Aidee
Futa hiyo Namba 3 katika vigezo vya mwanamke umtakae

Mwanaume kamili hatafuti financial independent girl. Unakinzana na nature. Mwanaume anatafuta mdada mrembo, mzuri anayejiheshimu na mwenye heshima fullstop. Hata kama mdada ana pesa vipi jitahidi awe financial dependent kwako. Utakaa Kwa amani

Ukilazimisha huyo financial independent usije kulalamika hapa next time.
Aisee!
 
Lakini huyu yeye sii anataka kutomber tuu na sio kuoa. So ndio maana anataka awe financialy independent
 
Hapa mambo ta kuexchange bank statment tena za forex *****
Nimekupenda kaka sema tu basi
 
[mention]Kelsea [/mention] akij huko usimjibu
 
Akiwa Smart and Matured both Internal and External yatosha.

Asili ya mwanamke ni kupokea. Embu tazama kitu kirahisi kikojoleo chako na chake kimaumbile nani mpokeaji nani mtoaji?

She needs ka-attention (hapa wengi ni kufeli)...
 
Back
Top Bottom