A smart and matured lady

Ila wachaga ni wa bahili kupitiliza, ati financial independent?wewe zako utakuwa unakula na nani,? Kama ndo hivyo utachapiwa hadi nyumbani kwako.
 
Hili tangazo limekaa kimkakati sana, apo kwa kiswahili ni hivi;

anatafutwa mwanamke mshangazi mwenyw uchumi wake, ila awe mpweke ili apate kijana mtanashati wakumliwaza.

Samahani Mkuu nimeona nikurahisishie tu kazi.

#SemaUsikike [emoji23]
 
Aidee
Aisee!
 
Lakini huyu yeye sii anataka kutomber tuu na sio kuoa. So ndio maana anataka awe financialy independent
 
Hapa mambo ta kuexchange bank statment tena za forex *****
Nimekupenda kaka sema tu basi
 
[mention]Kelsea [/mention] akij huko usimjibu
 
Akiwa Smart and Matured both Internal and External yatosha.

Asili ya mwanamke ni kupokea. Embu tazama kitu kirahisi kikojoleo chako na chake kimaumbile nani mpokeaji nani mtoaji?

She needs ka-attention (hapa wengi ni kufeli)...
 
Hivi jamenii kumuhudumia mke au mpenz wako ni jukumu lake au wewe mwanaume mbona mnajitahidi kupingana na asili?
Atakuwa amelielewa lile somo lenu mnalolipigania kila siku la 50/50.
 
Duuuh aseeeee huu utopolo bado upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…