A story about evil dark web

A story about evil dark web

badison, The last part got me like "oooh! Woow" like workers are being punished for buying Apple products.
 
Ndio ni kweli angalia kilichompata huyu mchina weka ela mbele alafu unakufa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu naye huyo janki afya yake mgogoro!

Ingawa siiungi mkono hiyo biashara chafu, lakini kumbuka kuna wachangiaji wa kujitolea ambao husaidia ndugu zao wenye uhitaji kunusuru uhai, mbona wakishang'olewa hizo figo zao huendelea kudunda?
 
Wajinga sio waafrika pekee wanaojipeleka Utumwani Libya.Ujinga hutokana zaidi na umasikini unaozaa Umbumbumbu na sio rangi ya mtu
 
Back
Top Bottom