king jafu Senior Member Joined Sep 10, 2019 Posts 148 Reaction score 118 Nov 24, 2019 #21 badison, The last part got me like "oooh! Woow" like workers are being punished for buying Apple products.
badison, The last part got me like "oooh! Woow" like workers are being punished for buying Apple products.
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 5,950 Reaction score 9,511 Nov 25, 2019 #22 Kauza haiponi kanunua iPhone...... What a good idea
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 Nov 29, 2019 #23 Duuuh Hatarii saaana
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Dec 7, 2019 #24 badison said: Ndio ni kweli angalia kilichompata huyu mchina weka ela mbele alafu unakufa! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sema tu naye huyo janki afya yake mgogoro! Ingawa siiungi mkono hiyo biashara chafu, lakini kumbuka kuna wachangiaji wa kujitolea ambao husaidia ndugu zao wenye uhitaji kunusuru uhai, mbona wakishang'olewa hizo figo zao huendelea kudunda?
badison said: Ndio ni kweli angalia kilichompata huyu mchina weka ela mbele alafu unakufa! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sema tu naye huyo janki afya yake mgogoro! Ingawa siiungi mkono hiyo biashara chafu, lakini kumbuka kuna wachangiaji wa kujitolea ambao husaidia ndugu zao wenye uhitaji kunusuru uhai, mbona wakishang'olewa hizo figo zao huendelea kudunda?
M Mwanitu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,036 Reaction score 594 Dec 21, 2019 #25 Wajinga sio waafrika pekee wanaojipeleka Utumwani Libya.Ujinga hutokana zaidi na umasikini unaozaa Umbumbumbu na sio rangi ya mtu
Wajinga sio waafrika pekee wanaojipeleka Utumwani Libya.Ujinga hutokana zaidi na umasikini unaozaa Umbumbumbu na sio rangi ya mtu