Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
My brother and sisters, what do we need in Africa? a Strong President like Chevez, castro and others or strong and functional state institutions?
Labda hiki ni kimoja kati ya mambo ya muhimu ambayo tunatakiwa kujiuliza wakati tunajiandaa kwa 2015 elections. Mijadala mingi kwa sasa inatawaliwa na swali kubwa ambalo ni nani atakuwa rais wa awamu ya Tano, na pia kuonyesha mapungufu ya awamu zilizopita. Lakini mapungufu hayo yamesababishwa na nini na tufanye nini ili kuepukana na mambo hayo.
Rais Barack Obama alipotembelea Ghana aliwaambia viongozi wa Africa "do not build strong men, build strong state institutions". Angalizo hili ni la muhimu sana kwa sasa. Obama kama Rais, hana majukumu mengio kama Rais wa Tanzania. Obama kwa upande wake, institutions zinafanya kazi vizuri na kila kitu kipo kama inavyotakiwa. Kwa Afrika na Tanzania yetu, Rais ni "dei waka" kila kitu kinamsubiri yeye: Migomo ya madaktari, uchomaji wa makanisa, kuchelewa kwa mishahara ya wafanyakazi, maandamano ya CHADEMA na mengine mengi. Ndio maana swali ni nani atakuwa raisi anayefuata? Lakini, kwa kufuata ushauri wa Obama, bado tuna nafasi ya kurekebisha, kupata rais ambaye ataweza kujenga institutions, ziweze kufanya kazi yake inavyotakiwa, ili wananachi wapate haki zao za msingi. Bila strong institutions, haki za wananchi hazipatikani kirahisi. Malalamiko ya wananchi kuhusu rushwa na uonevu mbali mbali, ni matokeo ya kukosa strong institutions...Kwa kiasi fulani, raisi wa awamu ya 3 alijitahiji kuzijenga, yaliyotokea baada ya hapo, mimi na wewe ni mashuhuda.
WanaJF, tufungue macho, hatuhitaji strong president pekee, bali raisi ambaye pamoja na mamabo mengine, atajenga strong institutions ambazo zitasiimamia usalama, uchumi, haki za wananchi na mengine mengi.