A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

Na Msando baadae alijitoa kwny firm ya Mawalla,akaanzisha firm yake na aka-weka picha ya Mentor wake Nyaga pale ofisini kwake.
Si baada ya kuona jamaa ameshadanja akaiba wateja wa jamaa akapata customer base ya kumfanya aendeshe ofisi yake bila matatizo kabisa.
 
Tulia dada huko daslam mmelegea sana huko daslam alijitokeza mtu anaitwa scorpion akamtoboa mtu macho hadharani lakin hakuna msaada wowote alioupata huyo mtobolewa macho sasa ndo ajitokeze mtu na shortgun mtamfanya nini?
Bongonyoo ni ma bwabwa
 
Duh.. Hamis Mtotoo alikuwa balaa... kwanini Alkesh alijiua?
 
uyo Nyokaa niliwai kwenda Arusha nikaonyeshwa na mwenyeji wangu,'unamuone yule jamaa,"nikwambia ndio akanambia baadae ntakupa matukio yake.
akanipa mkanda mzima jamaa alikua ni kubwa la maadui,kuzura na chuma mtaani kikiwa kwenye begi sio ajabu kwake.Arusha ilioza kwa uhalifu.
 
Nadhani yote Ni uzembe na kuogopana hao manyamera watumwe wale wauaji wa mh waliomshambulia lisu gari ile risasi 32 afu asife uone Kama ataendelea na uovu

Ukikaa nao unaingia hofu kwa stori zao ila ukimleta mtu ambae hajuihizo stori ukampa gun akaue Ni chapu tu
 
Mojaa ni police kidole hana jingine,siku hizi yeye anapewa kazi ya kuleta wahuni kwenye kesi za kubomoa nyumba zilizo tolewa hukumu mahakamani,kuvunja au kutoa wamiliki ndani ya nyumba
Wewe unamfahamu mojaa vizuri
 
Mojaa ni police kidole hana jingine,siku hizi yeye anapewa kazi ya kuleta wahuni kwenye kesi za kubomoa nyumba zilizo tolewa hukumu mahakamani,kuvunja au kutoa wamiliki ndani ya nyumba
Nilimuona mtaa wa pangani karibu na msikiti wa bondeni akiwa na hao sijui ndio mabaunsa wakimtoa mama mmoja wa kihindi kwenye duka....nikamsikia mojaa akitamka ".....anadaiwa milioni 80.....anadaiwa..." Ilikuwa katika harakati za kutoa vifaa nje
 
Huyu si mjomba wake na Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha mjomba mwingne ni mzee maresi kileo wa mianzini
 
Salute bro. But how did you come to know all these? Complicit?
Hakika JF ni encyclopedia ya mambo mengi
 
Punga ni Kaka yake Juma Mawalla,na huu upunga aliupata Marekani alipokuwa anasona. Mawalla aliuawa na foreign intelligence ya nje kutokana na kutakatisha fedha za Wasomali wateka meli.
 
Miaka gani hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…