Ngoja nikupe analysis yangu: Da Sophy ni small hausi ya The Boss. Ndo maana Kongosho anajidai hajamuelewa dearest da sophy. Mpambano unaendelea, naskia the boss kahama nyumbani, konnie jana alikuwa kisarawe kwa mganga wa mange kimambi manake naskia mizimu yake inaelewa kingreza.
Copyright: Dr king'asti, phd in umbealogyr
Mi pia nataka kuja lkn mzee anasisitiza tuje wote. Kwan kuna kutambulishana majina ya humu? Mambo flani ya kuchoreka mi spendi.