Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mkazi wa Mtoni Kijichi akishiriki kuzima moto uliotekeza makazi ya mama mmoja hivi. Nilipoiangala picha hiyo nilibakia kujiuliza kama juhudi zetu katika mapambano haya zinalingana na uzito wa kazi iliyopo mbele yetu au we are fighting the proverbial "losing battle"? Kweli tunaweza au tuache magari makubwa kufanya kazi hii (assuming the get there on time na wana maji ya kutosha!)
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/
......nilibakia kujiuliza kama juhudi zetu katika mapambano haya zinalingana na uzito wa kazi iliyopo mbele yetu au we are fighting the proverbial "losing battle"? ........ [/quote]
[SIZE="4"]Vita iliyopo mebele yetu ni kubwa, na pana, maadui wana kila siraha, kuanzia mizinga, ndege ziendazo kasi kama zile za Tonardo, mitambo ya kutungulia maroketi kama Patriot, wana kila kitu. Lakini kibaya zaidi wanamtandao kuanzia juu mpaka chini wako well organized, wana comanding post, wana nidhamu, wanawataalam kuanzia wa protocol mpaka Itifaki, halipindi Jambo. Wana Pesa, wanamedia, wanweza kuchapa Propaganda.
Sisi Tunawatu wanaolala hoi, wanaosubiri Masiha ashuke kuwakomboa, Sisi tunamawazo lakini hatuwezi kuingia barabarani kuwaambia sasa inatosha waondoke, kwani nikifanya hivyo mwanangu hatasoma tena, nitapigwa risasi na kikosi cha Fanya Fujo Uone, sisi hatuwezi kuwaondoa kwenye karatasi, kwani tunaogopa kuwachagua wengine tutauza nchi, tumeambiwa tutakaribisha Vita.
Nia Tunayo mzee, sababu Tunayo, lakini Uwezo wetu ni mdogo sana kama unavyotuona kwenye Picha.[/SIZE]
Vita iliyopo mebele yetu ni kubwa, na pana, maadui wana kila siraha, kuanzia mizinga, ndege ziendazo kasi kama zile za Tonardo, mitambo ya kutungulia maroketi kama Patriot, wana kila kitu. Lakini kibaya zaidi wanamtandao kuanzia juu mpaka chini wako well organized, wana comanding post, wana nidhamu, wanawataalam kuanzia wa protocol mpaka Itifaki, halipindi Jambo. Wana Pesa, wanamedia, wanweza kuchapa Propaganda.
Sisi Tunawatu wanaolala hoi, wanaosubiri Masiha ashuke kuwakomboa, Sisi tunamawazo lakini hatuwezi kuingia barabarani kuwaambia sasa inatosha waondoke, kwani nikifanya hivyo mwanangu hatasoma tena, nitapigwa risasi na kikosi cha Fanya Fujo Uone, sisi hatuwezi kuwaondoa kwenye karatasi, kwani tunaogopa kuwachagua wengine tutauza nchi, tumeambiwa tutakaribisha Vita.
Nia Tunayo mzee, sababu Tunayo, lakini Uwezo wetu ni mdogo sana kama unavyotuona kwenye Picha.
Hii picha inaonesha jinsi viongozi wetu wasivy juu Priority za wananchi wao na hili ndiyo tatizo ya hata kutotusikiliza sisi
Kwa hali hii uliyofafanua tutegemee USHIDI WA DAVID (DAUDI) dhidi ya GOLIATH eeeeeeeMUNGU TUSAIDIE>
Gembe,
Nilisoma kwenye thread moja jamaa kuna jamaa amesema kuwa unasomeshwa na fisadi mmoja masters SA (sijui ya tatu maana ulishawahikutamba humu kuwa unayo). Sijaona ukikanusha wala kukubali sasa hapa unauliza kuhusu priority kama hizo tuhuma ni za kweli jibu si unalo? Nikikusaidia mafisadi wanaiba hela na priority zao ni kujenga mahekalu, magari ya kifahari pamoja na kuwachukua watoto wa maskini wachache na kuwasomesha ili waje walinde mali zao kwenye jeshi letu la polisi, takukuru na waandishi wa habari yes waandishi wa habari.