https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/
......nilibakia kujiuliza kama juhudi zetu katika mapambano haya zinalingana na uzito wa kazi iliyopo mbele yetu au we are fighting the proverbial "losing battle"? ........ [/quote]
[SIZE="4"]Vita iliyopo mebele yetu ni kubwa, na pana, maadui wana kila siraha, kuanzia mizinga, ndege ziendazo kasi kama zile za Tonardo, mitambo ya kutungulia maroketi kama Patriot, wana kila kitu. Lakini kibaya zaidi wanamtandao kuanzia juu mpaka chini wako well organized, wana comanding post, wana nidhamu, wanawataalam kuanzia wa protocol mpaka Itifaki, halipindi Jambo. Wana Pesa, wanamedia, wanweza kuchapa Propaganda.
Sisi Tunawatu wanaolala hoi, wanaosubiri Masiha ashuke kuwakomboa, Sisi tunamawazo lakini hatuwezi kuingia barabarani kuwaambia sasa inatosha waondoke, kwani nikifanya hivyo mwanangu hatasoma tena, nitapigwa risasi na kikosi cha Fanya Fujo Uone, sisi hatuwezi kuwaondoa kwenye karatasi, kwani tunaogopa kuwachagua wengine tutauza nchi, tumeambiwa tutakaribisha Vita.
Nia Tunayo mzee, sababu Tunayo, lakini Uwezo wetu ni mdogo sana kama unavyotuona kwenye Picha.[/SIZE]