A wife is needed

A wife is needed

capernaum

Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
6
Reaction score
52
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha.

Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na ninajishughulisha na biashara kadhaa.

Binti naemtafuta: Asiwe mnene, asizidi miaka 30, asiwe na mtoto, elimu ya chuo & asiwe mlevi.

Kwa maelezo zaidi karibuni PM.
 
Kila la heri mkuu
 
Tatzo umezingatia elimu ya chuo hapo lazima ukutane na matapeli
 
Back
Top Bottom