Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Masingle mama wote hawasahaugi walikobebea mimba huwamnaenda kupoza kolomeoSasa ukabila wa nin jamani
Nashukuru single mom tuna nafasi najipanga
Apia π€£π€£Mbona umeguna? Hako ni kembamba kamenyooka Nlikaonaga selfika mwaka jana mwanzoni kama sio juzi.mwishoni
πππHakika ndio shughuli ilobaki kwa dhama za saivUnataka uje uanze kunisumbua au
Anazunguka sana πππππHakika ndio shughuli ilobaki kwa dhama za saiv
mbona yanazungumzika haya mama π[emoji57][emoji57][emoji57]
sina tatizo na single mamaSasa ukabila wa nin jamani
Nashukuru single mom tuna nafasi najipanga
Ni ganni?Jaman.. Kidogo tu ningepata mume.. Apo nimekosa kigezoπ
kwani DM imefungwa?Mbona sifa zote ninazoo jmn[emoji849][emoji849]
watajijuaWenzenu saivi wako na mashape ya ku edit sasa ww namba bane unamtaka atapoedit sindio tatizo huanzia apo alafu Aya makabila hawanaga uchoyo wapo kipesa zaidiπ
ππππMnamaaana sasaApia π€£π€£
Itakuwa ulimuona demu wako, ukanimix nae
Mimi tena uyo unanikosea sanaππAnazunguka sana ππ
Ndo tushakosa mume hivoπππππSie wenye umbo namba tisa tutakomenti baadae πππ
Usipoteze tumaini mukosa kule uku kunatumaini jipya bado fanya ukuje tuyaongee ukuπUmri umenitoa kwenye vigezo daaaah
Aya baba nimekuelewa but Sina kigezo hata kimoja,kuanzia kabila Hadi umbo[emoji1]mbona yanazungumzika haya mama π
[emoji14] π
ππππNenda mkayajenge uyo na vigezo vyake mwache apeleke ushindani lkn kwa jita hapa hii imetokeajeAya baba nimekuelewa but Sina kigezo hata kimoja,kuanzia kabila Hadi umbo[emoji1]