TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
-
- #141
Ulikughu mkamu gwangu?Ooh ok π karibu tena mkuu, tupo huku
Hadi unajua na lugha yetu, oa mnyakyusa utaenjoyπUlikughu mkamu gwangu?
ulinamatingo fijo πHadi unajua na lugha yetu, oa mnyakyusa utaenjoyπ
Lazima uoe mnyaki wewe huna ujanjaπππββοΈulinamatingo fijo π
po mbombo ngafu naloli.Lazima uoe mnyaki wewe huna ujanjaπππββοΈ
Huna ujanjapo mbombo ngafu naloli.
nampata wapi?Huna ujanja
Hawana maumbo ya kinyaki mkuu, hivi unawajua wanyaki aisee.Wapo wabena na wahehe wa Iringa.
Huko ndo kuna maumbo sasa, utapata wapi kama sio unyakyusani, kule hukuti vimbaumbau.Kasema umbo namba 8 sio mabaunsa
HAta 9 ni umbo 0 pia kasema umbo no8Huko ndo kuna maumbo sasa, utapata wapi kama sio unyakyusani, kule hukuti vimbaumbau.
Aloo huwajui wanyakyusa weweHAta 9 ni umbo 0 pia kasema umbo no8
Wanyakyusa ni 90% ni mabaunsa
π€£π€£π€£π€£ Wanyaru wanakatabia kakusema walipewa bure hivyo na wao hutoa bureeeUmeona nini mkuu?, usione sana ya wengine, tabia ya mtu mmoja ni tofauti na mtu mwingine, na kabila la mtu halimaanishi atakua na tabia hizo sana, oa mnyakyusa hutojutia [emoji3][emoji2088]
Jemima Mrembo haupo single ujiopolee mzungu mama,Mimi kiinglish sijui ππCriteria;
~ Age: 23-32
~ Shape: Neither fat nor thin,with 8 figure will be given first priority
~ Colour: Natural White or black
~ If is a single mother, should have not more than one kid.
~ Not talkative
~ Intellectual
~ Tribe: Any except Ngoni, Nyakusa, Chaga, Haya, Konde, Nyaturu, Jita, Gogo
~ Religion: Christian
~ One believing in self employment is the best ever
~ Must be in Dar
Who is
π€£π€£π€£π€£π€£Wanaume wote tunatafuta wachumba Pepo cjui tutaiona maana saivi kote mipambazuko na tnavyozidi kua wachache sasa tuweke kikao nakuacha shoboJemima Mrembo haupo single ujiopolee mzungu mama,Mimi kiinglish sijui ππ
Wanyaki wana vitambi mbele na nyumaUnataka umbo namba 8 halafu hutaki wanyakyusa, una tatizo mahali wewe.
ππ Msitufanyie ivyo,tushobokeei bhana ππππ€£π€£π€£π€£π€£Wanaume wote tunatafuta wachumba Pepo cjui tutaiona maana saivi kote mipambazuko na tnavyozidi kua wachache sasa tuweke kikao nakuacha shobo
πππAcha lipite nalo Pepo la utandawaziππ Msitufanyie ivyo,tushobokeei bhana πππ
Hata mimi vi hingirishi sivijui, yaani hata nikipewa dikishenari sijui pa kuanziaJemima Mrembo haupo single ujiopolee mzungu mama,Mimi kiinglish sijui ππ