A word of Appreciation to Shangazi Maria, Dada wa Taifa Mange, Hilda, Liberatus and others

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa ni Mungu pekee ndiye atakayewalipa wala siyo Ford Foundation.

Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.

Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema #hadituelewane, #freelissu na #samiamustgo.

c4jOucVptbYgPnjv.jpeg
 
Huko Dodoma wanatoa milio kila kona...
Wameleta kina Ferdinand lakin wapi....
Sasa wanasema wataleta maseneta wa US waje kujionea umoja wetu my foot....
Wagonjwa hasa wagonjwa wa afya ya akili huwa hawajitambui.Akili zao zipo rehani.Ukimsikia Nape anavyoongea unaweza kucheka hadi ukaomba pooh!Haelewi kana kwamba kwa mauzauza aliyoifanyia nchi hakuna anayemsikiliza wala kumuelewa labda vimbwenerehi wake tu.
 
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.

Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.

Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema hadi #tuelewane, #freelissu na #samiamustgo.

View attachment 3595724
Hawa wote na hasa Liberatus wametusaidia sana Watanganyika. Mungu awape maisha marefu sana wote tushuhudie kuanguka kwa ccm
 
Mungu yupo kazini. Kuna machozi anakwenda kuyafuta jumla jumla
 
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.

Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.

Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema hadi #tuelewane, #freelissu na #samiamustgo.

View attachment 3595724
Kabisa akina Mange wanastahili pongezi za kishujaa.
 
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.

Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.

Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema hadi #tuelewane, #freelissu na #samiamustgo.

View attachment 3595724
Mungu hutumia vilivyo dhaifu ili aviaibishe vyenye nguvu
 
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.

Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.

Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema #hadituelewane, #freelissu na #samiamustgo.

View attachment 3595724
Mgetuwekeeni na milio yenyewe tuisikieni wajameni,kqani kwenye milio hiyo huenda tukabaini mengi!
 
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.

Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.

Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema #hadituelewane, #freelissu na #samiamustgo.

View attachment 3595724
hao vibaraka kamwe hawataweza vita vyovyote dhidi ya mamlaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu.

hakuna vita ya kumshinda Mungu,
ni ushetani na uhayawani umewangia na kujaribu kuharibu vijana kwa kuwabeba ufala wa kifikra na kuwafanya malofa na wafuata mkumbo ambao hujiangamiza wenyewe kwa ujinga wao.

Mwenyezi Mungu awalaani hao vibaraka mashetani wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
 
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda hata siku moja.

We warned you.
 
Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.

Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.

Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema #hadituelewane, #freelissu na #samiamustgo.

View attachment 3595724
Nami naungana na wewe kuwapongeza hawa kwa mchango wao mkubwa; na hata kwa wengi wengine wasiofahamika waziwazi kwa sasa.

Haya mapambano ni muhimu yazidi kupamba moto maana waovu sasa wanajuwa hawana uwezo wa kuzuia mabadiliko.; na hawawezi kukwepa kuwajibika.
 
Hawa wote na hasa Liberatus wametusaidia sana Watanganyika. Mungu awape maisha marefu sana wote tushuhudie kuanguka kwa ccm
Liberatus aliitwa kwenye tume ya Chande; hivi alijitokeza? Napenda kujuwa hilo pekee, basi.
 
Back
Top Bottom