Wagonjwa hasa wagonjwa wa afya ya akili huwa hawajitambui.Akili zao zipo rehani.Ukimsikia Nape anavyoongea unaweza kucheka hadi ukaomba pooh!Haelewi kana kwamba kwa mauzauza aliyoifanyia nchi hakuna anayemsikiliza wala kumuelewa labda vimbwenerehi wake tu.Huko Dodoma wanatoa milio kila kona...
Wameleta kina Ferdinand lakin wapi....
Sasa wanasema wataleta maseneta wa US waje kujionea umoja wetu my foot....
Hakuna tena muda uliobaki, hao waganga njaa ngoja wakioneHuko Dodoma wanatoa milio kila kona...
Wameleta kina Ferdinand lakin wapi....
Sasa wanasema wataleta maseneta wa US waje kujionea umoja wetu my foot....
Atahonga wangapi, Marekani, EU Countries, ICC, Bloggers.Kuna namna kimama anawaza awahonge mgodi gani hao wamarekan ili kikombe hiki kimuepuke ila mmmmh ni kama ameshachelewa
Hawa wote na hasa Liberatus wametusaidia sana Watanganyika. Mungu awape maisha marefu sana wote tushuhudie kuanguka kwa ccmVita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.
Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema hadi #tuelewane, #freelissu na #samiamustgo.
View attachment 3595724
Mungu yupo kazini. Kuna machozi anakwenda kuyafuta jumla jumlaWagonjwa hasa wagonjwa wa afya ya akili huwa hawajitambui.Akili zao zipo rehani.Ukimsikia Nape anavyoongea unaweza kucheka hadi ukaomba pooh!Haelewi kana kwamba kwa mauzauza aliyoifanyia nchi hakuna anayemsikiliza wala kumuelewa labda vimbwenerehi wake tu.
Kabisa akina Mange wanastahili pongezi za kishujaa.Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.
Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema hadi #tuelewane, #freelissu na #samiamustgo.
View attachment 3595724
Mungu hutumia vilivyo dhaifu ili aviaibishe vyenye nguvuVita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.
Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema hadi #tuelewane, #freelissu na #samiamustgo.
View attachment 3595724
Mgetuwekeeni na milio yenyewe tuisikieni wajameni,kqani kwenye milio hiyo huenda tukabaini mengi!Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.
Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema #hadituelewane, #freelissu na #samiamustgo.
View attachment 3595724
Mgetuwekeeni na milio yenyewe tuisikieni wajameni,kqani kwenye milio hiyo huenda tukabaini mengi!
hao vibaraka kamwe hawataweza vita vyovyote dhidi ya mamlaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu.Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.
Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema #hadituelewane, #freelissu na #samiamustgo.
View attachment 3595724
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda hata siku moja.hao vibaraka kamwe hawataweza vita vyovyote dhidi ya mamlaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu.
hakuna vita ya kumshinda Mungu,
ni ushetani na uhayawani umewangia na kujaribu kuharibu vijana kwa kuwabeba ufala wa kifikra na kuwafanya malofa na wafuata mkumbo ambao hujiangamiza wenyewe kwa ujinga wao.
Mwenyezi Mungu awalaani hao vibaraka mashetani wa mabwenyenye ya magharibi π
acha porojo na ramli nonsense gentleman,Huwezi kushindana na Mungu ukashinda hata siku moja.
We warned you.
Nami naungana na wewe kuwapongeza hawa kwa mchango wao mkubwa; na hata kwa wengi wengine wasiofahamika waziwazi kwa sasa.Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa Mungu pekee ndiye atakayewalipa.
Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona matunda yenu wameanza kutoa milio.
Najua mapambano bado yanaendelea, kama shangazi anavyopenda kusema #hadituelewane, #freelissu na #samiamustgo.
View attachment 3595724
Liberatus aliitwa kwenye tume ya Chande; hivi alijitokeza? Napenda kujuwa hilo pekee, basi.Hawa wote na hasa Liberatus wametusaidia sana Watanganyika. Mungu awape maisha marefu sana wote tushuhudie kuanguka kwa ccm