Hakupata uteuzi huyoUlimwengu nae...
Jeshi La Tanzania lipo imara. Hata ingewezekana JPM agelipua mabomu kadhaa kama mzito kim jon un awaonyeshe wakoloni kwamba Tanzania ni nchi huru😀Unasifia ujinga. Kila mkenya anajua kwamba polisi ndio adui nambari wani. Sasa unampongeza Magufuli ndio umridhishe nani? Wewe jamaa ukitupwa korokoroni hata wiki moja tu walai lazima Onyii atakuoa. [emoji23]
Hongera zenu.Jeshi La Tanzania lipo imara. Hata ingewezekana JPM agelipua mabomu kadhaa kama mzito kim jon un awaonyeshe wakoloni kwamba Tanzania ni nchi huru😀
Uwe unatunza kumbukumbu kichwani mwako. Mara ngapi watu wamepigwa mabomu ama kujeruhiwa ama wameuawa kwa ajili ya kuandamana?
Muda si mrefu utaletewa ushahidi kuonesha jinsI majanga yalivyotokea kwenye kipindi hiki hiki cha Uhuru mnayemuita baba wa demokrasia.
It is a privilege indeed my friend, that can't be taken for granted. And the majority quiet tz people are contented with their government. Watu wasingeweza kuacha shughuli zao wakaandamane kisa yule mwanamke aliekua famous kwa beefs na kuwatukana ma socialites. Nyie hamjui tucountry is it's people not the police. We are not easily intimidated like you people for we know our rights and Kenya is our Home sio kama nyinyi mnaoishi kama its a priveledge and not a right to be in Tz.
Hao wana hali mbaya, tofauti na Tz. Watz have a lot, they can't just go and risk everything. People are aware.Angalia nyomi ya kikenya, yaani mtiti ambao hauwezi ukauzima kisa mapolisi yanafanya mazoezi barabarani, hawa hukuambia kwamba tear gas ni dawa ya mafua.
Sijakuelewa unacho lalamika kuhusu maana ni wazi kweli majanga yamewahi kutokea, hiyo ni gharama ya kupigania haki. Mimi mwenyewe nimechezea kwenye hayo mabomu sana enzi zile. Wakenya hujitokeza, sio mchezo aisei hadi mapolisi yanakimbia.....yanaua lakini wanazidi kuja, tena kwa mamia ya maelfu, wanatiririka mbio......
Kwahivyo wenzenu U.S.A wenye hali nzuri kama yenu, wakiandamana huwa wamewasaliti sana eeh? Hahaha 🙂Hao wana hali mbaya, tofauti na Tz. Watz have a lot, they can't just go and risk everything. People are aware.
Angalia nyomi ya kikenya, yaani mtiti ambao hauwezi ukauzima kisa mapolisi yanafanya mazoezi barabarani, hawa hukuambia kwamba tear gas ni dawa ya mafua.
Umenoa wakenya sio maandas kama nyie. Ikifika ni mambo ya maandamano hata polisi huwa wanajua mambo ni [emoji91]. 🙂 Sasa hawa wenzao wanaua nzi kwa kutumia nyundo? 😀 Nimemuheshimu sana huyo Mange.
Nikuoneshe video/picha za majuzi AMBAZO watu walikimbia huku maiti zimelala chini?
Ww ndio kilaza. Yeye emesema sherehe za muungano zilianza kusherehekewa mwaka 1965, sasa hapo kuna shida? Birthday huanza kusherehekewa lini?Huyu Muandishi kilaza yaani ameweza kujua yote hayo laini mwaka wa Muungano wa Tanzania anasema 1965? sikuweza kuendelea kusoma baada ya kuona ameandika hivyo kwani ni useless..
Nimekuambia hiyo ni gharama ambayo huwa tunalipa ili kuhakikisha haki ya msingi inalindwa, rais angeachiwa abwatuke na sisi tungekua tunachezea chini ya dikteta. Video na picha zipo za Wakenya wakiumia na wengine kuuawa, ila hatukutegemea polisi wajitokeze kucheka cheka na sisi, lazima hiyo gharama ingelipwa.
Ni kama ilivyo hapo Tanzania, leo hii mnaishia kuwabeep mapolisi, yaani mpo kama Kenya ilivyokua miaka ya themanini, kabla mje kufikia kwenye level yetu lazima mtauawa sana na kutupwa kwenye mifuko ya masandarusi. Serikali ambayo haijazoea maandamano, hutumia nguvu nyingi sana kujilinda, unaona kama juzi mdada wa kwenye Instagram katishia maandamano, yaani mlitokwa mipovu hadi hata rais wa nchi, mapolisi yenu yakakimbia kimbia barabarani yenyewe bila upinzani wowote, kubabaika kwa namna hiyo ni kwa serikali ambayo bado haijatikiswa na nyomi.
Hata kwetu mapolisi yalikua hivyo miaka ya themanini, lakini ilifikia hatua watu wakaamua, aisei asikuambie mtu. Wakenya waliuawa sana siku za kwanza kwanza, walitolewa kafara hadi balaa. Huwa sio rahisi, ni shguhuli ambayo lazima mjihakikishie kweli mna ubavu huo?
It's called intimidation, Kenyan security is weak, itakuwa hakuna hilo somo kwa curriculum yenu ya usalama
Pwahahaha, Unafkiri Tz ni Kenya?? TZ watu wengi wanajitambua akilini.. Hata polisi wasingeenda Barabarani idadi ya watu ambao wangejitokeza ingekua kidogo sana probably Watanzania ambao Asili yao ni Kenya.. Ziko njia nyingi tu za kusuluhisha mambo sio lazima Ku break down other people's propertiesPale bongo polisi walijua wanaume wote watakuwa Chini ya vitanda ilhali wananawake watakuwa nje kuendeleza biashara kama kawaida.
Hao wana hali mbaya, tofauti na Tz. Watz have a lot, they can't just go and risk everything. People are aware.