A young woman threatened a demo and the tough boys overreacted to a non-event

A young woman threatened a demo and the tough boys overreacted to a non-event

Wait... Wait... The organizers of the demo does not live in TZ? This is weird. Why not even respond?
 
Pwahahaha, Unafkiri Tz ni Kenya?? TZ watu wengi wanajitambua akilini.. Hata polisi wasingeenda Barabarani idadi ya watu ambao wangejitokeza ingekua kidogo sana probably Watanzania ambao Asili yao ni Kenya.. Ziko njia nyingi tu za kusuluhisha mambo sio lazima Ku break down other people's properties

Nani kasema kuandamana ni kuharibu properties!? Hiyo narrative ni propaganda ya serikali ama wewe ni mmoja wao?
 
Unasifia ujinga. Kila mkenya anajua kwamba polisi ndio adui nambari wani. Sasa unampongeza Magufuli ndio umridhishe nani? Wewe jamaa ukitupwa korokoroni hata wiki moja tu walai lazima Onyii atakuoa. [emoji23]
Anafanywa binti mle ndani Kazi ni kutafutiwa mboga kisha usiku anageuka mboga yenyewe 😀
 
Nani kasema kuandamana ni kuharibu properties!? Hiyo narrative ni propaganda ya serikali ama wewe ni mmoja wao?
Kwani hatukuona mlivyouana juzi juzi tu.. Mmevunja kila kitu, kitu kilichonichekesha nikaona Polisi anarusha mawe badala ya Tear gas[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pwahahaha, Unafkiri Tz ni Kenya?? TZ watu wengi wanajitambua akilini.. Hata polisi wasingeenda Barabarani idadi ya watu ambao wangejitokeza ingekua kidogo sana probably Watanzania ambao Asili yao ni Kenya.. Ziko njia nyingi tu za kusuluhisha mambo sio lazima Ku break down other people's properties
Mnakandamizwa kila uchao sijaskia hata migomo ya wafanyikazi pia na ni wazi malipo ni duni.
 
IMG_20180429_143932.jpg
 
Kwani hatukuona mlivyouana juzi juzi tu.. Mmevunja kila kitu, kitu kilichonichekesha nikaona Polisi anarusha mawe badala ya Tear gas[emoji23][emoji23][emoji23]

That's what happens if law enforcers detailed to protect both demonstrators and property violate the same law...chaos ensures. If cops stick to their mandate to protect and respect rights nothing will go haywire.
 
JPM usikalegeze kamba, Wakoloni na vibaraka wao wakitisha kuvuruga amani Tanzania Watolee balistic missile launchers na Jet Fighters..Wasifikirie wewe ni mboga mboga
 
Mnakandamizwa kila uchao sijaskia hata migomo ya wafanyikazi pia na ni wazi malipo ni duni.
Mimi sijaona huo ukandamizaji japo nakubaliana kuna baadhi ya wafanyakazi wanapata mshahara mdogo, Anachofanya Raisi ni kupunguza mfumko wa bei ili huo mshahara utakaoupata uweze kununua vitu vingi vilevile Huwezi ukamfanyia kila MTU wema, kuna watu walioridhika na wengine wanataka wafanyiwe Zaidi.. Watu walizoea kumuendesha sana Raisi aliepita Sasa huyu ana Msimamo tena mkali Sana. Nahisi Serikali yake inatumia principle ya "PAY AS YOU EARN"[emoji23][emoji23] watu walizoea vitu vya BURE sasahv ni Kula kwa Jasho, kila MTU anapiga kazi watu hawalali.. Huyu Raisi nampenda kwasababu anapenda maendeleo na anayafanya hasaaa .. Watu wavumilie tu amebakisha miaka 7[emoji23][emoji23]
 
That's what happens if law enforcers detailed to protect both demonstrators and property violate the same law...chaos ensures. If cops stick to their mandate to protect and respect rights nothing will go haywire.
It will take hundred of years for Africans to become Civilized.. Do you know what Peaceful protest is?? Law violation doesn't make you go crazy on the streets and burn everything down. That's unacceptable.. Hiyo ni kuonesha kuwa Akili za Waafrika zinapenda cheap and fast solutions and cheap is expensive.. Mnajimaliza wenyewe..
 
Angalia nyomi ya kikenya, yaani mtiti ambao hauwezi ukauzima kisa mapolisi yanafanya mazoezi barabarani, hawa hukuambia kwamba tear gas ni dawa ya mafua.

TELEMMGLPICT000146977622_trans_NvBQzQNjv4BqpVlberWd9EgFPZtcLiMQfyf2A9a6I9YchsjMeADBa08.jpeg
"Tear gas ni dawa ya mafua"😀😀😀😀
 
Ww ndio kilaza. Yeye emesema sherehe za muungano zilianza kusherehekewa mwaka 1965, sasa hapo kuna shida? Birthday huanza kusherehekewa lini?
Since 1965, April 26 has been the date when the unification of Tanganyika and Zanzibar, which eventually gave birth to what is Tanzania today, took place.
Hebu nipe tafsiri ya maneno hayo hapo.. kama yanamaanisha kuanzia hapo ndipo walipoanza kusheherekea? usiandike kwa kuandika tu..Kilaza
 
Hivi ni sherehe za Muungano au sherehe ya kukoloni Zanzibar?
 
Far from it! Kenyan security deals with people who know their rights and hardened enough to defend those rights with or without intimidation!

Nowhere in the world are hard won rights defended by fearing intimidation!
You guys, the majority Tanzanians are with Magufuli, hiyo demo hata wasingekuwa intimidated wangetokeza kwa uchache sana. People who know their right, mbona kuna injustices nyingi Kenya kushinda Tz.
 
Huo ni uwoga! No matter what you own if you can't defend your rights as a citizen all is in vain! If your govt can wake up and just impose a ban with no legal grounding, what will stop the same if it decides to come for individuals plus what they own!?

People are ignorant! Fungueni macho!
You don't understand shit, government imeweka ban ipi hiyo, mikutano ya Siasa wanaruhusiwa kwenye majimbo yao, na wamekuwa wanaifanya. Am telling you, you'll prove this come 2020 election. No sane people would demonstrate kwa kitu ina hash tag tz revolution, kumtoa democratic elected president Magufuli madarakani, watu wengi tunamkubali pande hii.
 
Huo ni uwoga! No matter what you own if you can't defend your rights as a citizen all is in vain! If your govt can wake up and just impose a ban with no legal grounding, what will stop the same if it decides to come for individuals plus what they own!?

People are ignorant! Fungueni macho!
Enough said, but I doubt kama huyo pimbi atakuelewa.
 
Since 1965, April 26 has been the date when the unification of Tanganyika and Zanzibar, which eventually gave birth to what is Tanzania today, took place.
Hebu nipe tafsiri ya maneno hayo hapo.. kama yanamaanisha kuanzia hapo ndipo walipoanza kusheherekea? usiandike kwa kuandika tu..Kilaza

Natumai jamaa atasoma upya na kuelewa, maana hizi lugha zinawatesa wengi.
 
Kenyan politics and ngo are all infiltrated and funded by foreigners like Soros.

Kenya is just another colony!
 
Cowards, most of them said they showed up but no one was willing to act they feared the police,
 
Back
Top Bottom