bora umfwate ili ushinde majaribu, otherwise utakuja na uzi wa bahati mbaya nimemsaliti mama ngina. the earlier the better.
Kumbe wewe humjui mama Ngina, aliondoka na Dada wa kazi.........................Nimebaki na watoto tu, lakini wananitia hofu na jakamoyo kwa kunichunguza nyendo zangu na kila siku wanawasiliana na mama yao wakimwambia muda ninaotoka kwenda kibaruani na muda ninaorudi nyumbani.................yaani wamekuwa FBI.Njoo utibiwe kwa muda............... hahah (joke)!! Ila na we nae umezidi kulia lia bana, na ole wako utoke na house girl!! Lol
Njoo utibiwe kwa muda............... hahah (joke)!! Ila na we nae umezidi kulia lia bana, na ole wako utoke na house girl!! Lol
wapo hawa wanae wanaonipa presha kila uchao....................haki ya Mungu vile ananitia majaribuni.
Mungu aepushie mbali...........................
Jiji lina majaribu hili jamani acheni tu!
Si nuimekutuma dukani kununua mkate wa BOFLO hapo kwa Mpemba, sasa hapa umefuata nini sasa..................Dah!this is too much!
kampoze kispoti ba ngina maana daily analia make it true na sio a joke...
Si nuimekutuma dukani kununua mkate wa BOFLO hapo kwa Mpemba, sasa hapa umefuata nini sasa..................
Na leo utanitambua na kiherehere chako, na akiyajua haya unanikoma mwaka huu, mtoto mnoko ka nini sijui!