Aaaaagh………..Mimi sasa uzalendo utanishinda!

Aaaaagh………..Mimi sasa uzalendo utanishinda!

Mwanakwetu, huyu dingi atawaadhiri oohoo!!

Ndugu yangu hii ya sasa wala co ya kupeleka polic wala kwa mjumbe,hapa tunahiji maombi tu maana km ni hila zimeshapitiliza haya ni mapepo!huna mchungaji wa ukweli atakaeweza kudeal na hili tatizo?maana kitakachofata ni aibu tu hapa jaman lol!
 
njia hii ilitumiwa zamani na mababu zetu kama njia ya kupanga uzazi, uenda unapenda sana kumpandia mwenzio mpaka anaogopa kuzaa watoto kama ndoto ya shrekh.........
 
Hivi hapa unamaanisha unasikia wivu mtambuzi, ama ndo majaribu yameanza kumunyemelea hehe pole week tatu tu unaanza kulia akimaliza miezi miwili atakuwa babu yetu umeoa ... take care Babu
Naomba mniombee, maana kuna kasekletali kapya hapa kazini, jamani nyie acheni tu, kananifanyia vibweka mpaka namkemea shetani............................
 
mama ngina huko aliko anatafunwa na ndio maana hataki kurudi inaonekana humtafunagi vizuri
Ushindwe kwa jina la Yesu, anamuuguza mamaye................................
 
mtambuzi .. jitahidi uende weekend ukamchukue maana akichelewa zaidi unaweza kukutwa na dhahama
 
Mi naangalia tu! Na sipiti wala nini, naweka kituo!

Wee I am a chair usikae kwenye kikao na mzee wako...lol mwache ajitafutie mapoozeo

Natafuta ule uzi wa kukupaisha. Jana nilipanda trekta kwenda Kisongo nikashindwa kuchangia...
 
Aaah! Kaka, hata WEWE???
Digna37, hata WEWE??? Kwani Shetani huwa anachagua!
Nimejinasibu kuweka wazi majaribu ninayopambana nayo, halafu mnanifanyia dhihaka, kweli sitanii, nakabiliwa na mitihani haki ya Mungu............................
 
Natafuta ule uzi wa kukupaisha. Jana nilipanda trekta kwenda Kisongo nikashindwa kuchangia...
Upi huo, hebu nipe heading yake basi, isije ikawa nimeshambuliwa mchana kweupe!?
 
Back
Top Bottom