Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Dah!this is too much!
Mwanakwetu, huyu dingi atawaadhiri oohoo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!this is too much!
Mwanakwetu, huyu dingi atawaadhiri oohoo!!
Naomba mniombee, maana kuna kasekletali kapya hapa kazini, jamani nyie acheni tu, kananifanyia vibweka mpaka namkemea shetani............................Hivi hapa unamaanisha unasikia wivu mtambuzi, ama ndo majaribu yameanza kumunyemelea hehe pole week tatu tu unaanza kulia akimaliza miezi miwili atakuwa babu yetu umeoa ... take care Babu
Naomba mniombee, maana kuna kasekletali kapya hapa kazini, jamani nyie acheni tu, kananifanyia vibweka mpaka namkemea shetani............................
Ushindwe kwa jina la Yesu, anamuuguza mamaye................................
Nikuletee gahawa? Ila kashata zimeisha...Mi naangalia tu! Na sipiti wala nini, naweka kituo!
Mi naangalia tu! Na sipiti wala nini, naweka kituo!
Digna37, hata WEWE??? Kwani Shetani huwa anachagua!Aaah! Kaka, hata WEWE???