Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete pia alishawahi kuuliza swali hili katika moja ya mikutano ya kimataifa. Inashangaza sana kama kiongozi wa nchi mwenye maamuzi ya mwisho anaweza kuuliza swali hili, eti naye hajuwi kwanini tu maskini ili hali tuna utajiri mwingi wa kila aina. Mhhhhh! Kiongozi wa namna hii bado watu wanampigia kura, unatarajia nini sasa kutoka kwake?
Lol! halafu silioni hili tangazo siku hizi!