Unaacha kuwaza masomo,we unawaza wanawake 2.
nimetoswaa wee mpaka nimechoka . Kuna dada nimetokea kumpenda saaaana hapa chuo lkn nikiangalia level zetu economically tofauti kabisa ,hata sijui nifanyeje .....aaargh

Usijaribu, utatoswa tena.
hahhaha haaaa jamani...pole sana aisee....