aaaargh love why me !

aaaargh love why me !

bodachogo

Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
89
Reaction score
8
nimetoswaa wee mpaka nimechoka . Kuna dada nimetokea kumpenda saaaana hapa chuo lkn nikiangalia level zetu economically tofauti kabisa ,hata sijui nifanyeje .....aaargh
 
vumilia tu mkuu,tuliza mawazo na uchukulie kawaida,huo ni upepo tu utapita
 
Unaacha kuwaza masomo,we unawaza wanawake 2.
 
Have Hope Brother, despair is for the defeated..
 
Nimeona fomu ya freemason somewhere humu! Hebu ifanyie kazi ndugu yangu...
 
nimetoswaa wee mpaka nimechoka . Kuna dada nimetokea kumpenda saaaana hapa chuo lkn nikiangalia level zetu economically tofauti kabisa ,hata sijui nifanyeje .....aaargh

Acha ujinga ulishaona wapi chuma na udongo vikashikamana? Au mafuta na maji yakachangamana?
Ila kama hutajali nenda kajitwalie hizo stress.
 
Umeshajiuliza kwa nini unatoswa???????????????Tatizo ni wewe mwenyeweTulia usome, utafute kwanza ndipo hilo lifuate ukiwa umetuliaMtaka Yote Hukosa Yote
 
Sasa ulijiruhusu vipi kupenda kama unajua level zenu tofauti? Isitoshe, alishakuambia uchumi wako ni kikwazo kwake? With your low self esteem sepa mapema manake utamtia shida tu dada wa watu!
 
Tumia hasira hizo kusaka pesa na sio kukalia maumivu tu
OTIS
 
nimetoswaa wee mpaka nimechoka . Kuna dada nimetokea kumpenda saaaana hapa chuo lkn nikiangalia level zetu economically tofauti kabisa ,hata sijui nifanyeje .....aaargh

uchumi na mahaba wapi na wapi?.ondoa khofu chukua mzigo wako..............LOL[MENTION]bodachogo[/MENTION]
 
Huna sound mzazi, masomo na mapenzi vinaenda pamoja. Nimewahi toswa pia ila sio mara zote, we jipange tafuta manzi kama hiyo uipendayo iko juu zaidi yako tafuta nyingine uliyoizidi ili kuichapa fimbo, hiyo tuachie sisi tuihonge. siunajua kila mnyonge na mnyonge wake.
 
Back
Top Bottom