Aache upotoshaji: Universal Health Care haimaanishi Bima ya Afya. 'Universal Health Care Coverage' kwa Tanzania tuko 100% tangia enzi za Mwl. Nyerere

Kisha anajiita Dr.. [emoji1][emoji1]
 
Acha uongo wa kisiasa. Usichokijua ni kuwa kuna madaktari humu. Hili siyo jukwaa la wanasiasa tu. UHC ni strategy/mkakati ya kuwezesha watu kupata huduma za afya bila ya kuingia katika matitizo makubwa kifedha (catastrophic expenditure). Kwa kiasi kikubwa, mkakati huu unategemea bima ya afya. Nimepata kufanya kazi WHO kitengo cha UHC. Kama una swali uliza.
 
Ujajifanya mwerevu kuliko mwenyekiti wako wa ccm.. mwenyekiti wako anaelewa anacho ongea lisu ndio maana ameamua kuchomekea kwa sababu ni hoja yenye mashiko.
Kati ya Lisu na Magufuri Nani kaongoza kumuonglea mwezie
Lisuwenu toka Akiwa kitandani Anamuota JPM,Kapona Anamuota,,
 
I dont think so but what i know is politics is letting people who have got a psychological approach or convincing power to rule, so whatever they did or had have done still people would be convinced by one way or another coz it was that trust once created in them at first place
 
haipo hiyo kitu duniani....
unless u tax watu 50% kama baadhi ya nchi..

Acheni kutaka dunianiwe heaven[emoji3][emoji3]

Haya boss vichwa vyenu zilaini..

Hata mwenyekiti wenu anawaza ruzuku sio uraisi...

wake up [emoji3][emoji3]

Viva JPM 2020 to infinity
Tatizo vichwa vyenu vigumu kuelewa na ndio maana mwenyekiti wenu anawadharau sana.
 

Hujui cho chote. Mimi ni mwalimu wako.
 
Unafikiri udokta wangu ni wa kuokota majalalani? Kuwa na imani na hiki ninachokuambia mtoto wangu. Hunijui na mimi sikujui. Trust me.
Haaaa!! We jamaa ni doctor kitaaluma??!! Sasa kwa akili yako hii kwanza umewezaje kuvuka mitihani ya level zote hizo hadi ukawa dokta? Na unawezaje kutibu wagonjwa kwa akili hizo?!!

Duuh, ningejua hivyo tangu awali nisingepoteza hata kujibu huo upuuzi wako, kama umetumia muda wote huo kukaa darasani na bado akili zimeishia hapo.
 
UHC embodies three related objectives:
i) Equity in access to health services - everyone who needs services should get them, not only those who can pay for them;
ii) The quality of health services should be good enough to improve the health of those receiving services; and
iii) People should be protected against financial-risk, ensuring that the cost of using services does not put people at risk of financial harm.

*TZ
33 - 40 % are covered by any form of social protection including health insurance (NHIF, iCHF, SHIB, Private, etc). Insured have to incure some co-payments when accessing some of the healthcare benefits

25-30% of TZ citizens pay out-of-pocket when accessing healthcare services

less than 3% of the citizens are pushed into poverty after incurring out-of-pocket when accessing healthcare services
 
umetoa shule nzuri sana nyumbu hawawezi kukuelewa hapa
 
Acha kuongea mambo usiyoyajua.hali ni tete sana uko kwenye vituo vya afya vya serikali sema ndo hivyo watz hatuna tu utamaduni wakusema sana.Ata wewe unajua fika hali iluvyo ila kwavile ni mnufaika wa huu ujinga unatetea.
 
Tulieni hivyo hivyo sindano iingie!
 
watu milioni 50 mnatibiwa bure?

Ujima.com

Viva Magu
Heil JPM

..una tatizo la uelewa.

..kutakuwa na bima ya afya kwa raia wote wa Tz.

..rwanda wana bima ya afya kwa raia wao, kwanini watanzania tushindwe?
 
..rwanda wana bima ya afya kwa raia wao, kwanini watanzania tushindwe?
Acha kutulinganisha sisi na hako ka nchi kadogo ka Rwanda kanakolingana na Zanzibar. Hata sisi huko Zanzibar huduma zote za afya ni bure. Gharama zote za matibabu zinabebwa na serikali yao ya mapinduzi. Hakuna cha bima wala nini, ukiugua unatibiwa bure. Huku bara haiwezekani unless tupandishe VAT mara mbili - kitu ambacho wabara hawatakubali.

Hata huko ughaibuni hali iko hivyo. Kwa mfano Canada ni ka nchi kadogo sana ukilinganisha na Amerika (USA). Canada ina idadi ya watu million 30 tu ukilinganisha na million 330 ya USA. Hivyo Canada inatoa matibabu bure (wanayoiita free universal health care insurance), kitu ambacho USA hakiwezekani.
 

..huku Tanganyika wananchi wote tutatibiwa kwa bima.

..Inawezekana. Timiza wajibu wako.
 
..huku Tanganyika wananchi wote tutatibiwa kwa bima.

..Inawezekana. Timiza wajibu wako.
Ni bima ambayo utainunua. Gharama yake kwa mfano ile comprehensive insurance inayotolewa na NIHF ni shillingi million moja na nusu kwa mwaka kwa mtu mmoja. Hakuna bima ya bure, ikiwa ya bure haitaitwa bima. Ulishaona wapi kwa mfano bima ya gari, bima ya moto, bima ya maisha nk inatolewa bure?
 

..itanunuliwa at an affordable rate.

..kila mwananchi ataweza kuimudu bei yake.

..UHC ipo kwa nchi kama Canada, Ujerumani, na kwa majirani zetu wa Rwanda.
 
Acha kuongea mambo usiyoyajua.hali ni tete sana uko kwenye vituo vya afya vya serikali sema ndo hivyo watz hatuna tu utamaduni wakusema sana.Ata wewe unajua fika hali iluvyo ila kwavile ni mnufaika wa huu ujinga unatetea.
Hali ni mbaya kwa sababu uchumi wa nchi yetu ulikuwa mdogo. Uchumi wetu ulikuwa unaneemesha mataifa ya wanjanja (wanyonyaji) tulioaminishwa ni wawekezaji. Sasa tumejitambua. Mafisadi na wanyonyaji hawa tumewakaba penyewe. Sasa uchumi wetu unapaa. Ndani ya miaka 5 umefikia kiwango cha kati na hali ya vituo vyetu vya afya sasa ni nafuu sana. Itaendelea kuwa bora zaidi jinsi uchumi wetu utakavyoendelea kuimarika. Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi. Sisi mkono wetu hauko tupu tena na kwa hivyo tumeanza kuulambalamba!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…