Mkuu
Fundi Mchundo , kesi ikifutwa kwa Nolle, ni kesi yote inafutwa na washitakiwa wote wanaachiwa huru!. Hii kesi ya Mbowe imethibitisha Tanzania hatuna kabisa good criminal defence attorneys wa level ya Murtaza Lakha!.
Ingekuwa ni Lakha, saa hizi nolle zamani!. Angemaliza hii kesi day one. Kwa vile kuna uthibitisho kuna mtu anaitwa Lijenje alikamatwa nao na hadi sasa hajulikani alipo, kazi ya kwanza ya Murtaza Lakha ingekuwa ni kuanza kwa kujaza tuu kitu kinaitwa Habeas Corpus, kuomba mahakama, iiamuru serikali kumleta Linjenje mahakamani!. Kesi ingeishia hapo!.
Hawa mawakili waliopo, japo wapo wapo tuu kama wapo, ila kiukweli ni kama hakuna kitu kabisa!.
P